britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
HAO WALIOSHINDWA KUTII AMRI KUBANGUA KOROSHO KWA MENO??wanajeshi hawataweza bwanaa.. wameshindwa kubangua korosho sembuse mpira😕
Wewe usimbishie mkubwa nitimu za jeshi JKT zipo ligi kuu na bado zinafungwa kila siku
Je toka mh. Rais ameongea maneno hayo aliwekeza inavyostahili katika mpira? Je watendaji wake wamesaidia inavyostahili au wangali katika siasa za wachezaji watano wa kigeni na fungiafungia?Kuanzia asubuhi jioni wao uwe mpira tu anayeshindwa apigwe rock up, hayo ni maneno aloyasema kipindi cha nyuma Ikulu, kutokana na matokeo mabovu ya stars ya kila wakati
Huyu Magu anajikomba kwa wanajeshi, anajua ndiyo Urais wake. Atawasema mazuri yote, lkn jeshi halina lolote la maana kwenye mpira ukiacha mitulinga ya kutumia nguvu katika mazoezi! Huku hakuhitaji nguvu kiasi hicho....Kuanzia asubuhi jioni wao uwe mpira tu anayeshindwa apigwe rock up, hayo ni maneno aloyasema kipindi cha nyuma Ikulu, kutokana na matokeo mabovu ya stars ya kila wakati
eti ndio wakacheze mpira😂😂HAO WALIOSHINDWA KUTII AMRI KUBANGUA KOROSHO KWA MENO??
Mara hii watapewa vifaru na Ak47timu za jeshi JKT zipo ligi kuu na bado zinafungwa kila siku
HahaKama mpira ni ubabe North Korea ingeshachkua kombe la dunia
Kwa jinsi jeshi lao lilivyokua kali[emoji3]
aichuku JKT ruvu aone watavyofanywaKuanzia asubuhi jioni wao uwe mpira tu anayeshindwa apigwe rock up, hayo ni maneno aloyasema kipindi cha nyuma Ikulu, kutokana na matokeo mabovu ya stars ya kila wakati