britanicca
JF-Expert Member
- May 20, 2015
- 16,295
- 33,994
Kuanzia asubuhi jioni wao uwe mpira tu anayeshindwa apigwe rock up, hayo ni maneno aloyasema kipindi cha nyuma Ikulu, kutokana na matokeo mabovu ya stars ya kila wakati
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HAO WALIOSHINDWA KUTII AMRI KUBANGUA KOROSHO KWA MENO??wanajeshi hawataweza bwanaa.. wameshindwa kubangua korosho sembuse mpira😕
Wewe usimbishie mkubwa nitimu za jeshi JKT zipo ligi kuu na bado zinafungwa kila siku
Kuanzia asubuhi jioni wao uwe mpira tu anayeshindwa apigwe rock up, hayo ni maneno aloyasema kipindi cha nyuma Ikulu, kutokana na matokeo mabovu ya stars ya kila wakati
Kuanzia asubuhi jioni wao uwe mpira tu anayeshindwa apigwe rock up, hayo ni maneno aloyasema kipindi cha nyuma Ikulu, kutokana na matokeo mabovu ya stars ya kila wakati
eti ndio wakacheze mpira😂😂HAO WALIOSHINDWA KUTII AMRI KUBANGUA KOROSHO KWA MENO??
Mara hii watapewa vifaru na Ak47timu za jeshi JKT zipo ligi kuu na bado zinafungwa kila siku
HahaKama mpira ni ubabe North Korea ingeshachkua kombe la dunia
Kwa jinsi jeshi lao lilivyokua kali[emoji3]
aichuku JKT ruvu aone watavyofanywaKuanzia asubuhi jioni wao uwe mpira tu anayeshindwa apigwe rock up, hayo ni maneno aloyasema kipindi cha nyuma Ikulu, kutokana na matokeo mabovu ya stars ya kila wakati