Hii kauli aliitoa Dr. JP Magufuli alipokuwa kwenye Jukwaa la kampeni huko Geita
Sasa, nauliza atawabeba vipi hao wafanyabiashara kama Diallo?
Au watapewa Msamaha wa Kodi?
Kama Mgombea Urais anatuaminisha vipi kwamba atatusaidia maskini?
Au through kuwabeba matajiri waliyomsaidia kwenye kampeni, na sisi maskini tutafaidika?
Hizi Kauli zingine kama Mgombea Uraisi siyo za kuongea Jukwaani
Mkijibiwa sawasawa na upumbavu wenu mnaanza kulalamika. ENL hajatembea na make wa Mtu yeyote? Je tutoe otodha yake? Tunahurumia waliotendewa. Mnahoji kama fisadi mnbona hajashtakiwa ila mnaowatuhumu wameshtakia mahakama ya CDM. JPM in mkweli naye ENL aseme akishinda atamtoza Jodi Rostam?
Tatizo la Magufuli ni kuropoka ovyooo. Uwezo wake wa kufikiria madhara ya uropokaji pia ni mdogo mno. Ni hatari kuwa na Rais wa aina hii.
Akiwa moshi, mkinichagulia huyu mbunge wa ccm, nitawajengea barabara za rami mji wote,
baadae kidogo mimi ni wa watu wote. anasahau barabara sio lazima tukuchagulie mbunge wa ccm. ni kwa aju=ili ya watu wote.
ameingia kwenye siasa bila maandalizi
WELL SAID...!! umesema sawaswa!! huwezi kula kwa mikono miwili..!!ila kuropoka kwake kunatusaidia kujua kilichopo moyoni mwake,na kufanya maamuzi sahihi jumapili, sio wale wenzie wagombea uraisi waliomtangulia wa chama chake wana piga kelele watawabeba maskini kumbe nyumbani wameandaa mbeleko ya kubebea wafanya biashara waliowapa hela za uchaguzi, na wanafahamu kabisa maskini na tajiri hawabebeki kwenye mbeleko moja ukibeba mmoja basi mwingine aandike maumivu....
Hii kauli aliitoa Dr. JP Magufuli alipokuwa kwenye Jukwaa la kampeni huko Geita
Sasa, nauliza atawabeba vipi hao wafanyabiashara kama Diallo?
Au watapewa Msamaha wa Kodi?
Kama Mgombea Urais anatuaminisha vipi kwamba atatusaidia maskini?
Au through kuwabeba matajiri waliyomsaidia kwenye kampeni, na sisi maskini tutafaidika?
Hizi Kauli zingine kama Mgombea Uraisi siyo za kuongea Jukwaani
ok,,,lowasa amesema yeye hatawabeba waliomsapoti,,,,ok,,,unaamini hilo?...
tatizo la magufuli sio mnafiki
bora mropokaji muadilifu kuliko msiri fisadi.Tatizo la Magufuli ni kuropoka ovyooo. Uwezo wake wa kufikiria madhara ya uropokaji pia ni mdogo mno. Ni hatari kuwa na Rais wa aina hii.