Pesa mlizokuwa nazo za kufinance projects zilienda wapi?Sasa msichokielewa hapo ni nini?
HATUMUELEWI MAGUFULI ANAFANYA NINI PERIODSasa msichokielewa hapo ni nini?
Nadhani hapo unapoa povu tu. Hebu rudia kusoma na usikilize yeye anavyosema.Ni kwamba tayari mumeingia kwenye madeni na mnaendelea kukopa ilhali bado mpo maskini, sasa siku mkifikia uchumi wa Kenya mtakua mumeuza nchi.
Madeni yote haya na bado mpo mbali sana...
Nadhani hapo unapoa povu tu. Hebu rudia kusoma na usikilize yeye anavyosema.
Hapa Tanzania ni nchi inajiendesha yenyewe. Hatujakopa mpaka sasa na tayari banks 7 zimekuja kuleta request ili sisi tukope. Bado tunafikiria. Na riba imeshuka mpaka 3%. Huoni hapo ni ushindi kwa waafrica?
Siliza information hapa uache kujiliza liza.
Pilipili usio ila inakuwashia nini? Kenya is borrowing at 8%, TZ is getting some loans at zero intrest and others from WB at less than 3% with a grace period of 10 years.Hamjakopa mpaka sasa??? Hivi wewe unaifahamu nchi yako kweli ama unakaririshwa maneno ya wanasiasa, hebu soma ripoti ya BoT ya mwezi Februari kuhusu ongezeko la deni la taifa ndio uje kubwabwaja. Nakuambia deni lenu linaongezeka ilhali bado mnatajwa kwenye mataifa maskini, sasa siku mkija kufikia uchumi wa kiwango cha kati mtakua na deni la aina gani.
Ukiwa maskini hufai kujilimbikizia madeni chungu nzima, hayo mabenki yanayokuja kupanga foleni yawape mkopo ilifaa kukaa mbali nao kwa sasa. Tatizo mumetunisha misuli mfanane na sisi mnataka kujenga miundo mbinu yote kwa mkurupuko, hapo hamna jinsi itabidi kukopa mpaka basi.
Mtu akisoma huku haijui Kenya anaeza hisi Kenya iko level ya Belgium. Sasa nyinyi mmejenga nini ambayo Tz imeshindwa!? kma sgr nyinyi mmepigwa mkopo wa riba kubwa na mchina uku tz iki tumia funds zake Kwa zaid ya Km 700.Hamjakopa mpaka sasa??? Hivi wewe unaifahamu nchi yako kweli ama unakaririshwa maneno ya wanasiasa, hebu soma ripoti ya BoT ya mwezi Februari kuhusu ongezeko la deni la taifa ndio uje kubwabwaja. Nakuambia deni lenu linaongezeka ilhali bado mnatajwa kwenye mataifa maskini, sasa siku mkija kufikia uchumi wa kiwango cha kati mtakua na deni la aina gani.
Ukiwa maskini hufai kujilimbikizia madeni chungu nzima, hayo mabenki yanayokuja kupanga foleni yawape mkopo ilifaa kukaa mbali nao kwa sasa. Tatizo mumetunisha misuli mfanane na sisi mnataka kujenga miundo mbinu yote kwa mkurupuko, hapo hamna jinsi itabidi kukopa mpaka basi.
Tanzania debt at February is 39% of GDP according to IMF n can go to 56% of GDP.Hamjakopa mpaka sasa??? Hivi wewe unaifahamu nchi yako kweli ama unakaririshwa maneno ya wanasiasa, hebu soma ripoti ya BoT ya mwezi Februari kuhusu ongezeko la deni la taifa ndio uje kubwabwaja. Nakuambia deni lenu linaongezeka ilhali bado mnatajwa kwenye mataifa maskini, sasa siku mkija kufikia uchumi wa kiwango cha kati mtakua na deni la aina gani.
Ukiwa maskini hufai kujilimbikizia madeni chungu nzima, hayo mabenki yanayokuja kupanga foleni yawape mkopo ilifaa kukaa mbali nao kwa sasa. Tatizo mumetunisha misuli mfanane na sisi mnataka kujenga miundo mbinu yote kwa mkurupuko, hapo hamna jinsi itabidi kukopa mpaka basi.
Ni kwamba tayari mumeingia kwenye madeni na mnaendelea kukopa ilhali bado mpo maskini, sasa siku mkifikia uchumi wa Kenya mtakua mumeuza nchi.
Madeni yote haya na bado mpo mbali sana...
Naona unaumia sana ndugu yangu. Sasa umekuwa msemaji wa watanzania siyo!!? HahahahahaHamjakopa mpaka sasa??? Hivi wewe unaifahamu nchi yako kweli ama unakaririshwa maneno ya wanasiasa, hebu soma ripoti ya BoT ya mwezi Februari kuhusu ongezeko la deni la taifa ndio uje kubwabwaja. Nakuambia deni lenu linaongezeka ilhali bado mnatajwa kwenye mataifa maskini, sasa siku mkija kufikia uchumi wa kiwango cha kati mtakua na deni la aina gani.
Ukiwa maskini hufai kujilimbikizia madeni chungu nzima, hayo mabenki yanayokuja kupanga foleni yawape mkopo ilifaa kukaa mbali nao kwa sasa. Tatizo mumetunisha misuli mfanane na sisi mnataka kujenga miundo mbinu yote kwa mkurupuko, hapo hamna jinsi itabidi kukopa mpaka basi.
Wewe nadhani hujui mambo ya uchumi kabisa. Mtu anakopeshwa akiwa na assets. Hebu niambie Kenya ipo na assets zipi?Madeni uskope sana kama wewe maskini maana huna chochote cha kuuzwa ili yalipwe.