Wewe nadhani hujui mambo ya uchumi kabisa. Mtu anakopeshwa akiwa na assets. Hebu niambie Kenya ipo na assets zipi?
Ngoja nikupatie shule kidogo.
Kuna elimu kwenye issue za balance sheet kama Account inavyosema.
Kitu cha muhimu sana ni Assets.
Assets zimegawanyika katika makundi mawili.
Non-Current Assets na Current Assets
Non-Current Assets
- Investment and Fund
- Property, plant and Equipment
- Intangible Asset
Current Assets
- Cash
- Bank
- Stock
- Debtor
Sasa unapokuja kuanza kuongelea maswala ya Bank (Reserve ya foreign currency)
Tanzania ipo na $5.9billion wakati kenya ipo na $4.9Billion
Sitaki nikuchoshe sana nataka uniambie kwenye non-Current Assets ikitokea wale wanaowadaini wakataka muwalipe leo mtawapatia nini?
Sisi tupo na:-
1.
we have reserve of Uranium
View attachment 727548
2. We have Coal
View attachment 727549
3. Gas Reserve
View attachment 727550
Hayo machache tu. Nakutaka sasa ueleze kuhusu kenya what do you have