Magufuli outlines why Tanzania will continue borrowing

Magufuli outlines why Tanzania will continue borrowing

Wewe nadhani hujui mambo ya uchumi kabisa. Mtu anakopeshwa akiwa na assets. Hebu niambie Kenya ipo na assets zipi?
Ngoja nikupatie shule kidogo.
Kuna elimu kwenye issue za balance sheet kama Account inavyosema.
Kitu cha muhimu sana ni Assets.
Assets zimegawanyika katika makundi mawili.
Non-Current Assets na Current Assets

Non-Current Assets
  1. Investment and Fund
  2. Property, plant and Equipment
  3. Intangible Asset
Current Assets
  1. Cash
  2. Bank
  3. Stock
  4. Debtor
Sasa unapokuja kuanza kuongelea maswala ya Bank (Reserve ya foreign currency)
Tanzania ipo na $5.9billion wakati kenya ipo na $4.9Billion

Sitaki nikuchoshe sana nataka uniambie kwenye non-Current Assets ikitokea wale wanaowadaini wakataka muwalipe leo mtawapatia nini?
Sisi tupo na:-
1. we have reserve of Uranium
View attachment 727548

2. We have Coal

View attachment 727549

3. Gas Reserve

View attachment 727550

Hayo machache tu. Nakutaka sasa ueleze kuhusu kenya what do you have
Wao wana brookside na Jubilee.
 
Report za IMF na WB wameionya Tz isiendelee kutumia pesa zake za ndani ku finance big projects, wame shauli mikopo yenye masharti nafuu itumike. Ili uchumi uweze kukua kwa kasi zaidi.
Iko hivi kukopa siyo kitu kibaya kama huo mkopo utatumika vizuri kwenye maeneo yanayo changamsha uchumi. Mfano reli ya kati iki isha ma million ya litre za mafuta zita achwa kuingizwa nchini, Masaa mengi ya kukaa njiani yataokolewa kwa mizigo na watu, ongezeko la watu na mizigo kusafiri litatokea, Maelfu ya ajira yata jitokeza mashambani, viwandani na kwenye operations za rail na trains, ujenzi wake tu umeshazalisha ajira nyingi, achilia mbali fursa za kufungua biashara na mataifa jirani kama Rw,Brd, Congo na Ug. Sasa hayo yote ukiya weka in monetary value then ukaangalia impact yake kwenye GDP utakua ni mjinga kukataa kukopa tena mkopo wenye masharti nafuu.
 
Kwani unafikiri hajui hayo? Ni uzandiki na husda ndo vinamfanya kujidai kutoona unafuu wa masharti ya mkopo ambao kwangu mimi ni nadra kutokea kwa Afrika.

Hasira za kwanini Tanzania ndo zinamfanya ajibarague. Ikumbukwe mbali na mkopo wenye riba ya 8% kwa Mchina, Kenya wamepewa treni za diesel zenye mwendokasi 80km/h. Bata picha maumivu anayougulia. Huku Magu kasema benki zile 17 zimekubali kushusha riba mpaka 3% na bado anaendeleza majadiliano!

Hapa naona riba itakuwa 1%! Ukitaka kujua huyu jamaa ni mnafiki mwenye ukabila, jaribu kufikiria kama RAO ndo angekuwa kafanya madudu haya na Mchina. I tell u Hell would have broken loose.
 
Wewe nadhani hujui mambo ya uchumi kabisa. Mtu anakopeshwa akiwa na assets. Hebu niambie Kenya ipo na assets zipi?
Ngoja nikupatie shule kidogo.
Kuna elimu kwenye issue za balance sheet kama Account inavyosema.
Kitu cha muhimu sana ni Assets.
Assets zimegawanyika katika makundi mawili.
Non-Current Assets na Current Assets

Non-Current Assets
  1. Investment and Fund
  2. Property, plant and Equipment
  3. Intangible Asset
Current Assets
  1. Cash
  2. Bank
  3. Stock
  4. Debtor
Sasa unapokuja kuanza kuongelea maswala ya Bank (Reserve ya foreign currency)
Tanzania ipo na $5.9billion wakati kenya ipo na $4.9Billion

Sitaki nikuchoshe sana nataka uniambie kwenye non-Current Assets ikitokea wale wanaowadaini wakataka muwalipe leo mtawapatia nini?
Sisi tupo na:-
1. we have reserve of Uranium
View attachment 727548

2. We have Coal

View attachment 727549

3. Gas Reserve

View attachment 727550

Hayo machache tu. Nakutaka sasa ueleze kuhusu kenya what do you have
Kuna pia countless Germstones, Aluminium, Helium, Titanium, Nickel, Nobium, Copper, mineral sand na Graphite.
 
Madeni uskope sana kama wewe maskini maana huna chochote cha kuuzwa ili yalipwe.

Huo uchumi sijawahi usikia tangu nizaliwe au hata kuumbwa kwa dunia.
Nijuavyo mimi usikope kama huna cha msingi cha kufanyia hizo fedha.
Ikiwemo KUKOPA ili KULIPA deni.
 
Huo uchumi sijawahi usikia tangu nizaliwe au hata kuumbwa kwa dunia.
Nijuavyo mimi usikope kama huna cha msingi cha kufanyia hizo fedha.
Ikiwemo KUKOPA ili KULIPA deni.

Unaweza ukawa na cha kufanyia, ukawa na mipango lakini pia lazima upumue kwa kiwango chako cha umaskini sio kujilimbikizia madeni ilmradi uonekane na wewe upo. Debt to GDP ya LDC haifai kupita hata 30%
 
Yani sababu pekee ya kuendelea kukopa ni kwasababu tu bado tunakopesheka,

Nchi inaendelea kukopa mpaka pale tutakapokosa sifa ya kukopesheka.

Tunabebesha mizigo kwa vitukuu na vilembwe kwasababu tu bado tunakopesheka.

Kama tunakopa ili kuendeleza miundombinu ambayo itatumika na HATA vilembwe au across the generation haina tatizo kama mkopo pia utalipwa mpaka vizazi vijavyo au across the generation.

Lililo kubwa kuzingatia ni:
1. Mkopo upelekwe kwenye miradi yenye tija.
2. Mkopo utumike kama ulivyokusudiwa.
3. Masharti ya mkopo yawe ya haki. Siyo project finance inakuwa na interest rate above 3%.
 
Unaweza ukawa na cha kufanyia, ukawa na mipango lakini pia lazima upumue kwa kiwango chako cha umaskini sio kujilimbikizia madeni ilmradi uonekane na wewe upo. Debt to GDP ya LDC haifai kupita hata 30%

Guy our country finance AND creditworthiness matter a lot.
 
Pesa mlizokuwa nazo za kufinance projects zilienda wapi?
Nenda usome upya kujua project zinazojengwa kwa hela ya ndani ni zipi na zinazojengwa kwa mkopo ni zipi halafu urudi hapa kubwabwaja
 
Nenda usome upya kujua project zinazojengwa kwa hela ya ndani ni zipi na zinazojengwa kwa mkopo ni zipi halafu urudi hapa kubwabwaja
Tafuta nchi yako hapa nina uhakika haitakosa na haijawahi kosa....😵😵
upload_2018-3-29_9-11-45.jpeg
 
Back
Top Bottom