Nikuletee uthibitisho hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda ukivuta Bangi au unataka nikuletee wapi?Thibitisha
Kwani CHADEMA hizo ubongo zenu zimejaa jazba, maneno machafu tuu na mitusiNikuletee uthibitisho hapo gheto kwa cyprian Musiba mnaposhinda ukivuta Bangi au unataka nikuletee wapi?
Kwani bongo za miccm zimeenda wapi mpaka kutetea uonevu uovu wa kuwabambikia kesi kuwapiga risasi wapinzani?Kwani CHADEMA hizo ubongo zenu zimejaa jazba, maneno machafu tuu na mitusi
Acheni kupanic 28102020 sio mbali
Sina Cha kukujibu maana tuko level tofauti za ufahamu!Bora kwa kuwabambikia kesi kesi kuwapiga risasi wapinzani? au bora kwako kwa kuwa ni mnufaika wa udhalimu wake?
Mikataba mipya ya madini ni siri kubwa imejaa ujanja mwingi na mnufaika ni huyo mwenye nayo ukitaka taarifa subiria atoke ikulu ndipo utakuja kushangaa vitukohatari sanaa.mim wala sina neno na mafanikio.ila huwa nawaza tu upande ule kwanza mgombea wetu alikua Ulaya miaka 3 sijui god only knows alikua anapanga kitu gani??
je mziki wa makinikia aje hapa mwana jf aseme mgombea wetu Lissu ange deal vipina ishu ya makinikia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe upo level ipi anza kujimwambafy nione ili na mie nijue cha kukujibuSina Cha kukujibu maana tuko level tofauti za ufahamu!
Kutoka kwako na manguli wa level yako na zaidi, ingefaa zaidi kama tungeona hiyo EVALUATION iliyofanyika na sio nyimbo tupu kama za kwenye 'chagulaga mayo'
Hiyo ndiyo wahenga wanaitaga fainali uzeeniPaskal mayala yafaa apelekwe hija uwezo wake wa kufikiri upo magharibi sasa
Wewe, hapo amebana. Vinginevyo nje angekwenda, na hizi zingetumika.Unabana matumizi Safari za nje, sherehe then unazipeleka kununua wapinzani, kurudia chaguzi za marudio hapa umeokoa vipi fedha,si Bora wasafiri nje wapate exposure
Afadhari wewe umechomoka huko. Jamuhuri ya maiti sio kuzuri.mungu wenu hawezi ongoza Jamii za watu walioelimika,ashukuru anaongoza maiti.
Afai hata kuongoza mtaa
Unabana unawekeza pasipozalisha pasipo tija kiuchumi,ni heri ya aliyezitumia kusafiri kuleta wawekezaji na fikra mpyaWewe, hapo amebana. Vinginevyo nje angekwenda, na hizi zingetumika.
Ni haki ya mlipa Kodi kuhoji Kodi zake zinavyotumika,pia kumhoji aliyemuajiriAfadhari wewe umechomoka huko. Jamuhuri ya maiti sio kuzuri.
Bukoba mjini.Hiyo nyakato iko wapi mkuu?
Ridhaa ya kugombea alishapewa kitambo.Mlevi wa madaraka ngoja tumpumzishe tukutane 2025 sijui Kama ccm watampa ridhaa Tena maana kule ndo hawataki ata kumsikia