Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

Alisema tukimpa madaraka tutalimia meno.Hayo tumeona,Nakuhakikishia tukirogwa kumpa tena awamu hii tutalimia ulimi.Siwezi kushiriki dhambi hiyo.
Nashangaa kwa nini mlimpa hiyo mara ya kwanza! Sitashangaa mkimpa mara ya pili.
 
Ugoro Umeingia Puani Ni Mwendo Wa Chafya
Umekula Maharage Ya Wapi Wewe!!!
 
Kama Africa inamhitaji aende Zimbabwe kuwakuzia uchumi, sisi Tz hatumhitaji, mitano yake inatosha.
SASA BASII.
Nawewe unamhitaji sana tu, tatizo umepotoshwa, lakini kwakuwa akili unazo timamu, badilika mpigie Kura JPM
 
Ngoja tusubiri africa nzima impigie kura
 

Tusiwaseme wengine wakati wenyewe wako huru. Malawi wametuzidi sana kwenye demokrasia 😂
 
Unajua unapoona umati wa watu wanaambiwa wanyanyue mikono iwapo watamchagua lissu na wananyanyua , unawaangalia usoni unaona nin watu ambao wana matumaini nae, hata kama ni askari lazima uwaonee huruma. Ni vigumu kwa mtu wa kawaida kujaribu kuwakatili watu kama hawa.

Niseme tu ,, ccm watumie ushawishi kwa watu, wasihangaike kutumia majeshi.
 
UPUUZI MTUPU!
 
JPM ndiye Rais bora Afrika
Ngoja akawafundishe huko kwingine Africa kununua wapinzani kwa Bei mbaya, utekaji, kubambikizia kesi zisizo na dhamana, ubaguzi wa kichama, ukabila, upendeleo, kutopandisha mishahara, kuminya Uhuru wa watu, wizi wa kura, nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…