Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

Unabana matumizi Safari za nje, sherehe then unazipeleka kununua wapinzani, kurudia chaguzi za marudio hapa umeokoa vipi fedha,si Bora wasafiri nje wapate exposure
 
Mtoa uzi ni takataka.... Hili lilikuwa bao la nyeto kabisa sijui imekuwaje lizarutubishwa... Umbwa kabisa
 
Watu wenye mawazo kama yako wanaonesha jinsi ambavyo hawaipend nchi yao wanajipenda wenyewe anza kupenda nchi yako kwanza haraf ndo wew ufate
 
Wale wote wanaomchukia JPM kwa njia moja au nyingine wameguswa na economic policies zake, lazima wamchukie ambao hata 10% ya wapiga kura waliojiandikisha 2020 hawafiki
 
Kuongoza afrika kuna hitaji akili na sio nguvu
Kuna hii nimeikuta mahali. Sina uhakika kama ilifanyika Leo lakini ndio haya mambo yanayo mfanya MTU awe wa kimataifa na nchi itambulike na kupata hadhi nje.
Wiki moja tuu ya kuteuliwa na chama chake Afrika nzima imejua mgombea ni nani na kila mmoja anataka kumhoji naye haogopi mahojiano.
Tanzania sasa inarudi kwenye chati, mambo ya kula mahindi barabarani sio issue kabisa.
 
Watu wenye mawazo kama yako wanaonesha jinsi ambavyo hawaipend nchi yao wanajipenda wenyewe anza kupenda nchi yako kwanza haraf ndo wew ufate
Ungekua na upendo wa dhati na mama Tanzania hakika usingekua unaipenda CCM sababu CCM ni kikundi cha watu kilichoharibu na kinachoendelea kuharibu Nchi yetu.
 
Ungekua na upendo wa dhati na mama Tanzania hakika usingekua unaipenda CCM sababu CCM ni kikundi cha watu kilichoharibu na kinachoendelea kuharibu Nchi yetu.
Nchi haijaharibika ndo maana kuna amani nenda Afghanistan uone nchi zilizo alibika kua makini usibabaishwe cha kwanza amani pili maendleo ya nchi tatu ndo maendleo ya mwananchi
Usichague chama chagua kiongoz bora
 
Nchi haijaharibika ndo maana kuna amani nenda Afghanistan uone nchi zilizo alibika kua makini usibabaishwe cha kwanza amani pili maendleo ya nchi tatu ndo maendleo ya mwananchi
Usichague chama chagua kiongoz bora
Ina maana Nchi kuharibika mpaka uwepo wa vita!?
Ama kweli kujibizana na Mataga ni kujipotezea mda.

Vipi kuhusu rushwa ilivyotamalaki huku TAKUKURU wakiufyata mkia?

Vipi kuhusu ufisadi papa wa serikali ya Mr. Tanzania mpya (refer 1.5T)?

Vipi kuhusu ongezeko la umasikini kwa Watanzania?

Vipi kuhusu ubaguzi wa kikanda na wapinzani?

Vipi kuhusu ukosefu wa ajira kwa WaTz?

Vipi kuhusu dhuruma kwa wastaafu na wakulima (refer wakulima wa korosho)?

Vipi kuhusu Mauji, unyanyasaji na ubambikiziaji kesi kwa wapinzani?

N.k,

Mambo ni mengi, nimechoka kutype.

Jiwe atupishe tu, Tano inatosha.
 
Kwa kiongozi tu kusimama na kuweza kuzipigania raslimali za taifa lake dhidi ya yeyote anazihujumu anastahili support yangu.

Binadamu hakosi mapungufu yake. Magufuli anamapungufu yake kama kiongozi ila ni aina ya viongozi ambao Afrika tunawahitaji.
Hata akina Hitler walikuwa hawacheki na KIMA during there time that's why tunaona Europe ya sasa. Go Magu Go....!!!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
 
acha nikae kimya...naweza kusema kitu na kuonekana msaliti.
 
Kuna kila dalili kwamba umelogwa
 
Duh...!.
P
 
Kwalipi hasa kushindwa kuajiri miaka mitano? kushindwa kupandisha madarajana mishahara miaka mitano?,kushindwa kulipa wastaafu? Kuwabomolea watu nyumba zao ,Kula rambirambi za teremeko unafikiri tumesahau?
 
Namba moja siyo sifa ni UPOPOMAAA
 
Unajua fika alishindwa kuonesha huo uongozi wake bora kwa Africa kipindi cha Covid - 19 hadi Ramaphosa akapigisha kikao kwa nguvu.
 
hakuna anaye mhitaji magufuli. sadec, na EAC ujinga alio wafanyia kwenye janga la coronavirus umemwacha nguo wazi hata wale walio kuwa wanamjuwa kupitia tv akiigiza maigizo yake ya kutumbua mafisadi wameisha juwa kuwa ni mtupu kichwani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…