Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

Hakuna nchi duniani yenye imemaliza hayo mambo msiionee Tanzania
 

Burundi anakubalika sana.

Akagombee huko.
 
Kampeni ya kura za Afrika nzima inaanza lini?
 
umesahau sifa moja ya utekaji & mauaji dhidi ya wakosoaji
 
nyie ndio mnaolea upumbavu itafikia kila mtu atakae ingia ikulu anabadili katiba akae mpaka kifo huuu ni ujinga na hauvumiliki na utaleta migogoro isio lazima nonsense nyie ma CCM akili hamna nyie
 
Kama Africa inamhitaji aende Zimbabwe kuwakuzia uchumi, sisi Tz hatumhitaji, mitano yake inatosha.
SASA BASII.
Zimbabwe hawezi kwenda watamtukana mara ya pili arudi mbio kama safari ile alipowauthi kwa kumsifia Kiongozi wao ambaye hajawafanyia lolote. Amezoea kusifiwa for doing nothing anafikiri Waafrika wote ni wajinga kama Wabongo wanaodai anapendwa dunia nzimà bila kutaja hata nchi moja. Hata hapa walimfukizia kwa kujisifu amewafanyia mengi mazuri kumbe kawatia umasikini. Huu ni msalaba wetu hakuna nchi inayoutaka!
 
Wale wote wanaomchukia JPM kwa njia moja au nyingine wameguswa na economic policies zake, lazima wamchukie ambao hata 10% ya wapiga kura waliojiandikisha 2020 hawafiki
Uko sahihi na nashauri abane zaidi
 
nyie ndio mnaolea upumbavu itafikia kila mtu atakae ingia ikulu anabadili katiba akae mpaka kifo huuu ni ujinga na hauvumiliki na utaleta migogoro isio lazima nonsense nyie ma CCM akili hamna nyie
Pasuka ufe
 
Wamchukue wanako muhitaji tena tunawapa buree
Hakuna wanakomhitaji hata bure maana atakuwa mzigo usiobebeka. Ni Chama chake ndo kinatubebesha mzigo usio na manufaa yoyote ulitakiwa utupwe mahali uchomwe Moto majivu yatupwe baharini. Hafai kuishi kati ya watu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…