Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

Magufuli Rais Bora[emoji1241][emoji1241][emoji1241][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Kama ni hivyo atuache na Tz yetu na Lissu wetu aende kugombea ukatibu mkuu wa AU
 
Wewe usioona hata ukioneshwa huna macho, Upofu utokanao na chuki, maslahi binafsi, ukibaraka hauwezi kutoka machoni.
Hujui athari za safari za viongozi wa kiafrika kwenda Ulaya?
1. Matumizi makubwa ya kodi za wananchi
2. Kuficha fedha ng'ambo
3. Kutumikia mabeberu
N.k
 
Mtoa uzi ni takataka.... Hili lilikuwa bao la nyeto kabisa sijui imekuwaje lizarutubishwa... Umbwa kabisa
Hahaaaa, ukikosa hoja utakimbilia matusi, leta hoja. Hoja haipigwi ngumi Bali kupingwa kwa hoja
 
Kama Safari za nje ni matumizi makubwa ya kodi za wananchi niambie ujenzi wa uwanja wa ndege chato??? Ni wapi bunge lilipitisha??? Ni wapi kandalasi ilisainiwa??? Ni kampuni gani ilipewa kandarasi ya kujenga ule uwanja na ni ya nani????
 


😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂 😂
 
Ni kweli vp kuhusu maslahi ya wafanyakazi
 
Mnyonge mnyongeni lakini haki yake mpeni. Jiwe ni mtendaji wa kiwango cha juu ajabu.

Hali ya kujisikia salama majumbani kwetu imeimarika sana sana. Watu mnasahau upesi hali ya ulinzi na usalama ilivyokuwa imedorora mwishoni mwa utawala wa Mkapa na kipindi chote cha utawala wa Kikwete.

Miradi mingi ya maji iliyoanzishwa wakati wa Mkapa ilikosa fedha wakati wa Kikwete. Jiwe kaikamilisha. Hata ujenzi waTerminal III uligeuzwa mradi wa upigaji wakati wa Kikwete. Jiwe alikwenda pale akawakoromea. Na kwa vile wanamjua walikamilisha haraka.

Mimi sina faida binafsi kumsifu Jiwe. Nasema tu ukweli. Umeme, maji, hospitali, elimu, na kadhalika, amekarabati vilivyokuwepo na vipya vikajengwa kwa kasi ambayo Watanzania walikuwa hawajawahi kuishuhudia.

Ni kweli "hapa kazi tu". The man is not perfect but he is damn good. Anaweza kuigeuza Tanzania kama Kagame alivyogeuza Rwanda. But then again kuna watu ambao hawawezi kujua kwamba yaliyofanyika Rwanda ni ya ngazi ya muujiza. Tunaelekea huko huko.

I have tried to picture in my mind what Tanzania will look like after another five years of true "hapa kazi tu". Naona treni za umeme zikitoka Dar hadi Kigoma. Najiona nikipita kwa gari daraja la baharini. Meli zinabeba watu na bidhaa maziwani bila kuharibika hovyo hovyo. Umeme kila mahali. Shule na mahospitali vimekarabatiwa. Watendaji wote wako macho kwani wakizembea tu kuna consequences. Zege hailali, uaajibishwa papo kwa hapo.


Amani na utulivu vimetanda nchi nzima. Kilimo kinaendelezwa kwa spidi kubwa. Import substitution industries in all districts.

Is that far fetched? No, not if you can see the groundwork that has been set.
 
Mwambie huyo mataga mwenzako. Anafikiri watanzania ni mamburula kama yeye!
Usiseme watanzania sema wewe sio mbulula, huwezi kuwasemea watanzania wote, ndio maana chadema mnafeli mnadanganyana vijiweni kwenye kura mnafirwa.
 
Usiseme watanzania sema wewe sio mbulula, huwezi kuwasemea watanzania wote, ndio maana chadema mnafeli mnadanganyana vijiweni kwenye kura mnafirwa.
Naona unazidi kujionesha jinsi ulivyo. Uwe na siku njema mataga
 
Mnapojipambanua kusifia msiache na kuonesha failure......lakini kubwa kuliko yote mnapsifia hewala ila ikiwa tofauti basi forum inaonekana ipo kiuchochezi na akina Melo wanakesheshwa mahakamani,waambieni wenye mamlaka kuwa ikiwa JF ina watu wanaosifia basi pia watarajie kuwepo na watu wanaosiliba.
 
Usiseme watanzania sema wewe sio mbulula, huwezi kuwasemea watanzania wote, ndio maana chadema mnafeli mnadanganyana vijiweni kwenye kura mnafirwa.
Jamaa basi kisa umezoea wew kufanyiwa hivyo kama ulivyomalizia ndo unadhani wenzio nao wanafanyiwa kama wewe???........
 
Bima ya afya ambayo saiv ukilipia unasubiri miez 3 ndo uipate sasa huoni ni wizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…