Tanzanianist
Member
- Apr 25, 2020
- 60
- 63
View attachment 1530836
π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π
Watasingizia wameenda wachache kuogopa coronaView attachment 1530836
π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π π
Na wewe ni chadema?Jamaa basi kisa umezoea wew kufanyiwa hivyo kama ulivyomalizia ndo unadhani wenzio nao wanafanyiwa kama wewe???........
Hahahahaha Kweli Ni Hatari Swali Juu Ya SwaliWeka ushahidi kwamba si muuaji
Umemaliza kila kitu mkuu,huyu jamaa sioni mfano wake Afrika.Wakati ule ilikuwa ni aibu sana ukifika ughaibuni kujitambulisha kuwa unatoka Tanzania,sasa hivi unazungumza kwa herufi kubwa,"am from Tanzania",kama haelewi unamuuliza "do you know John Pombe Magufuli",utasikia "ok,now i understand,welcome sir"kiujumla we are in another level,huyu jamaa by hooks and crooks lazima tuhakikishe anapita bila kupingwa...Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.
Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora, shupavu, jasiri, Mzalendo na Mchapakazi.
Katika nchi nyingi, RAIA na viongozi wanamtazama Magufuli kama kiongozi bora wa mfano wa kuigwa katika ulinzi wa Rasilimali na Maendeleo ya nchi.
Tungekuwa na uchaguzi wa RAIS wa Afrika, JPM angeshinda kwa kura nyingi maana Afrika inamhitaji kuliko yeye anavyoihitaji Afrika.
Hizi rekodi zake haziwezi kufikiwa na Rais mwingine yeyote wa Afrika hivyo kumpambanua kama kiongozi bora wa karne hii:
1. Kuongoza nchi ya kiafrika kwa miaka mitano bila kukanyaga Ulaya, Amerika wala Asia
2. Kuzuia safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma ili viongozi wawatumikie wananchi
3. Kudhibiti biashara ya kulevya nchini
4. Kudhibiti ujangili
5. Kujenga ukuta ili kulinda rasilimali madini
6. Kutumia wasomi na Elimu zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi
7. Kufufua shirika LA ndege kwa kutumia cash money
8. Kubadili mfumo wa mashirika ya umma kutoka kuomba ruzuku hadi kutoa gawio
9. Kusimamia uwajibikaji wa viongozi wa umma
10. Kuwaminya mabeberu hadi kukubali kukaa meza ya mazungumzo ili kutupatia Hisa na gawio LA mapato ya madini
11. Kuboresha miundo mbinu na usafiri wa anga, barabara, majini na reli
12. Kukomesha mgao wa umeme na kuongeza uzalishaji wa umeme
13. Kupambana na Covid-19 kidete hadi kuirejesha Tanzania katika hali ya kawaida na sasa maisha yanaendelea vyema
14. Kuimarisha mifumo ya Uthibiti ubora wa Elimu kwa kuimarisha NACTE, NECTA, SQA, TCU n.k
15. Kuimarisha huduma za afya na Bima ya Afya, sasa hivi wenye bima wanapokelewa kama wafalme hospitalini, zamani tuliwekwa benchi
16. Kuimarisha michezo na usimamizi hivyo wachezaji wananufaika na jasho lao na timu zetu zinafanya vizuri. Ndani ya miaka mitano ya JPM Tanzania imecheza AFCON, ilifuzu CHAN, simba ilifika robo fainali
17. Heshima ya Tanzania kama Taifa imerejea, hakuna Nchi inayotuchezea tena
18. Kilimo kimeimarishwa hivyo nchi imeongeza uzalishaji, hakuna njaa tena nchini.
19. Imani ya wananchi kwa CCM imeongezeka na sasa wana CCM wanazaa sare zao hadharani tofauti na 2013-2014 ambako MTU angepita na sare ya CCM, angezomewa au ingechanwa.
Kwa sababu hizo na zinginezo, Waafrika wanatutegemea sana watanzania tumpe Ushindi wa Kishindo DR. JPM kwa ustawi wa Tanzania na Afrika nzima. CHAGUA JPM, CHAGUA MAENDELEO
Alishindwa kuchezea kichapo 2015 iwe 2020?.you must be joking!!Mnalazimisha maji kupanda mrima , Jpm ajipange kuchezea kuchapo. Hela za Tetemeko la ardhi ziko wapi
Risasi 16 zimemfanya ajulikane duniani.Kuna hii nimeikuta mahali. Sina uhakika kama ilifanyika Leo lakini ndio haya mambo yanayo mfanya MTU awe wa kimataifa na nchi itambulike na kupata hadhi nje.
Wiki moja tuu ya kuteuliwa na chama chake Afrika nzima imejua mgombea ni nani na kila mmoja anataka kumhoji naye haogopi mahojiano.
Tanzania sasa inarudi kwenye chati, mambo ya kula mahindi barabarani sio issue kabisa.View attachment 1530283
Yaani ni hivi Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.
Rekodi alizovunja Mheshimiwa JPM nchini Tanzania, Afrika na dunia nzima, zinamfanya asiwe mgombea wa Tanzania pekee Bali tegemeo LA Afrika kama mfano wa Kiongozi bora, shupavu, jasiri, Mzalendo na Mchapakazi.
Katika nchi nyingi, RAIA na viongozi wanamtazama Magufuli kama kiongozi bora wa mfano wa kuigwa katika ulinzi wa Rasilimali na Maendeleo ya nchi.
Tungekuwa na uchaguzi wa RAIS wa Afrika, JPM angeshinda kwa kura nyingi maana Afrika inamhitaji kuliko yeye anavyoihitaji Afrika.
Hizi rekodi zake haziwezi kufikiwa na Rais mwingine yeyote wa Afrika hivyo kumpambanua kama kiongozi bora wa karne hii:
1. Kuongoza nchi ya kiafrika kwa miaka mitano bila kukanyaga Ulaya, Amerika wala Asia
2. Kuzuia safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma ili viongozi wawatumikie wananchi
3. Kudhibiti biashara ya kulevya nchini
4. Kudhibiti ujangili
5. Kujenga ukuta ili kulinda rasilimali madini
6. Kutumia wasomi na Elimu zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi
7. Kufufua shirika LA ndege kwa kutumia cash money
8. Kubadili mfumo wa mashirika ya umma kutoka kuomba ruzuku hadi kutoa gawio
9. Kusimamia uwajibikaji wa viongozi wa umma
10. Kuwaminya mabeberu hadi kukubali kukaa meza ya mazungumzo ili kutupatia Hisa na gawio LA mapato ya madini
11. Kuboresha miundo mbinu na usafiri wa anga, barabara, majini na reli
12. Kukomesha mgao wa umeme na kuongeza uzalishaji wa umeme
13. Kupambana na Covid-19 kidete hadi kuirejesha Tanzania katika hali ya kawaida na sasa maisha yanaendelea vyema
14. Kuimarisha mifumo ya Uthibiti ubora wa Elimu kwa kuimarisha NACTE, NECTA, SQA, TCU n.k
15. Kuimarisha huduma za afya na Bima ya Afya, sasa hivi wenye bima wanapokelewa kama wafalme hospitalini, zamani tuliwekwa benchi
16. Kuimarisha michezo na usimamizi hivyo wachezaji wananufaika na jasho lao na timu zetu zinafanya vizuri. Ndani ya miaka mitano ya JPM Tanzania imecheza AFCON, ilifuzu CHAN, simba ilifika robo fainali
17. Heshima ya Tanzania kama Taifa imerejea, hakuna Nchi inayotuchezea tena
18. Kilimo kimeimarishwa hivyo nchi imeongeza uzalishaji, hakuna njaa tena nchini.
19. Imani ya wananchi kwa CCM imeongezeka na sasa wana CCM wanazaa sare zao hadharani tofauti na 2013-2014 ambako MTU angepita na sare ya CCM, angezomewa au ingechanwa.
Kwa sababu hizo na zinginezo, Waafrika wanatutegemea sana watanzania tumpe Ushindi wa Kishindo DR. JPM kwa ustawi wa Tanzania na Afrika nzima. CHAGUA JPM, CHAGUA MAENDELEO
Yaani ni hivi Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!
Maslahi yapi ya wafanyakazi?.Ni kweli vp kuhusu maslahi ya wafanyakazi
Sasa kama una vyeti feki alaf ukajenga kwenye road reserve, ulitaka upandishwe cheo?.Yaani ni hivi Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu NI YEYE!!!
Sisi Ni katika like kundi la waliobomolewa Kimara pamoja na sisi tulio fukuzwa kazi kwa madai ya vyeti feki
Ni mwendo wa kisu kuchinja tu Mxieussszzzx shubaamit
Kuna watu wagumu kuelewa, Dunia nzima inatetemeka kusikia jina JPM, Mwamba wa Afrika, Beberu hana chakeUmemaliza kila kitu mkuu,huyu jamaa sioni mfano wake Afrika.Wakati ule ilikuwa ni aibu sana ukifika ughaibuni kujitambulisha kuwa unatoka Tanzania,sasa hivi unazungumza kwa herufi kubwa,"am from Tanzania",kama haelewi unamuuliza "do you know John Pombe Magufuli",utasikia "ok,now i understand,welcome sir"kiujumla we are in another level,huyu jamaa by hooks and crooks lazima tuhakikishe anapita bila kupingwa...
Lisu mwenyewe ukimuuliza Kura yake atampa nani, atakwambia John Joseph Pombe MagufuliKama ni hivyo atuache na Tz yetu na Lissu wetu aende kugombea ukatibu mkuu wa AU
Amini usiamini Kuna Waafrika wanatamani waje Tanzania kumpigia Kura JPMKampeni ya kura za Afrika nzima inaanza lini?
Maisha ya wafanyakazi yamekuwa bora kuliko awamu zilizopita, Mfumuko wa bei upo chini, Kodi imeshushwa na kuongeza take home, mikopo imeboreshwa, Huduma za afya kwa watumishi imeboreshwa kupitia NHIF, Hadhi ya Utumishi wa umma, juuuNi kweli vp kuhusu maslahi ya wafanyakazi
Mmenajisi wimbo wa Taifa halafu mnajinasibu kushinda uchaguzi.Labda niwafahamishe matokeo ya uchaguzi mwaka huu, ni John Pombe Joseph Magufuli 95%.Hiii ni chungu kusikia lakini ndiyo ukweli.Mkuu ukiniita MATAGA unanikosea heshima japo hatujuani.
Anyway unayo haki kuita yeyote jina lolote lakini hakikisha hauvunji sheria, haukandamizi haki ya huyo mtu.
Kwa hapa umekandamiza haki yangu.
Mkuu ulikusudia kunitumia mimi hii post au ulikosea?Mmenajisi wimbo wa Taifa halafu mnajinasibu kushinda uchaguzi.Labda niwafahamishe matokeo ya uchaguzi mwaka huu, ni John Pombe Joseph Magufuli 95%.Hiii ni chungu kusikia lakini ndiyo ukweli.
Mnafiki wewe usieona mafanikio ya JPM kama Mkuu wa nchiKwa unafiq Mungu kakupa kipaji
Bila jambo kufanyika huwa hakuna malalamiko, malalamiko ni sehemu ya mafanikio.Mleta mada usitufanye wote wapuuzi humu
1. Yani kwa akili yako sifa ya Raisi ni Mtu ambaye haendi Ulaya na America????
2. Kwa akili yako unafikiri mtumishi akisafiri nje ya nchi ndo hatumikii wananchi??? Unajua Safari za nje ya nchi zinakuwaga za aina gani na malengo gani??? Au unafikiri watu wanaenda vacation tu???
3. Nani kakwambia magufuli anatumia wasomi kwa maendeleo ya nchi??? Anawaburuza wasomi au anawatumia kwa maendeleo ya nchi??? Unajua Msomi Prof Assad alifanywa nini na huyo Magufuli???
4. Unasema kafufua shirika la ndege kwa kununua ndege! Labda nikuulize unajua financial statements za Air Tanzania wewe??? Unajua mchakato wa kuuziana izo ndege ukoje???
5. Hivi unajua hali za kifedha za hayo mashirika yanayotoa gawio??? Nakushauri nenda kafuatilie financial statements za ttcl uone kama linajiendesha kwa faida, fuatilia hayo mashirika mengine kama national housing , ppf, nsssf kama yanajiendesha kwa faida??
6.Unazungumzia uwajibikaji gani wa viongozi wa umma??? Makonda alikutwa na vyeti feki alimwajibisha????
7. Tuliambiwa tunawadai acasa trillion 490???? Unajua zilipotelea wapi??? Uliwai kuhoji???
8.Ni miundombinu gani ya ameboresha yeye?? Hujui kuwa asilimia 95 zilikuwa project za JK. Au unasema uwanja wa kijijini kwake Chatto ambao hata zabuni yake hatuijui???
9. Bima ya afya gani ameboresha wakati kapunguza hadi magonjwa ya kuhudumiwa na Bima???
10. wachezaji gani wananufaika??? Hujui hata Ligi kuu kuna wachezaji hawalipwi mishahara miezi na miezi????
11.Heshima gani ya Tanzania imerejea?? Kuwa na Urafiki na wafu Burundi na Zimbabwe au????
12. Kilimo gani kimeimarishwa??? Hujasikia malalamiko ya wakulima wa Korosho, Mbaazi, Tumbaku na Mahindi??? Au unaishi Misri????
13. Imani gani ya wananchi imeongezeka??? Au watu wamenyimwa uhuru wa kutoa mawazo yao kutokana na kubambikiwa makesi, kupigwa risasi na kupotezwa pale wakitoa mawazo yao huru???
Kajipange upya kilaza wa Lumumba wewe!!!
Usidanyike, Afrika bila ubabe utaliwa maana hujuma nyingiKuongoza afrika kuna hitaji akili na sio nguvu
Tanzania IPO katika nchakato wa Uchaguzi Mkuu, miongoni mwa wagombea URAIS ni Mheshimiwa Daktari John Joseph Pombe Magufuli.