Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

Twende na mh Lissu anatosha
 
Twende zetu na mh Lissu
 
Umeshawai kutoka nje ya nchi???
 
Yaani ni hivi Kura yangu na familia yangu na kura za wafanyakazi wenzangu na familia zao tumeshakubaliana kumpa LISSU kwa sababu Sisi Ni katika like kundi la waliobomolewa Kimara
1. Kwanza poleni kwa kubomolewa!, pili Rais wetu, Dr. John Pombe Joseph Magufuli, aliisha sitisha bomoa bomoa zote, sasa zinatumia human face.
Pongezi kwa Rais Magufuli Kusitisha Bomoa Bomoa Kwa Kuongeza Kigezo Cha "Human Face" He's So Human!
2. Kama mlibomolewa kwa makosa, then usiwe na wasiwasi, wote waliobomolewa kwa makosa, watafidiwa!.
Kama Hii Ndio Situation ya Bomoa Bomoa ya Ubungo na Kimara Bila Fidia, Then Faraja Pekee ni Kuwa, Watafidiwa Tuu!.
3. Kwa vile kura ni siri ya mtu, hakuna makubaliano yoyote nani atampigia kura nani!, ila kwa 2020, JPM hana mpinzani wala mshindani!. Ila pia kwenye demokrasia, kujifarahisha kwa kugombea urais, rukhsa
Swali la Ukweli Mchungu: Je, 2020 Magufuli ana mpinzani au mshindani, au Ni Magufuli tu?!.

P
 
1. Kuongoza nchi ya kiafrika kwa miaka mitano bila kukanyaga Ulaya, Amerika wala Asia
2. Kuzuia safari za nje kwa viongozi na watumishi wa umma ili viongozi wawatumikie wananchi
3. Kudhibiti biashara ya kulevya nchini
4. Kudhibiti ujangili
5. Kujenga ukuta ili kulinda rasilimali madini
6. Kutumia wasomi na Elimu zao kwa maendeleo ya nchi bila kujali itikadi
7. Kufufua shirika LA ndege kwa kutumia cash money

1. Nchi haiwezi operate ikiwa imeji- isolate
2- Safari zenye tija bado zinahitajika.
3. Mateja bado wapo mtaani hata kwenye daladala utawakuta.
4. ___
5. ___
6. Wasomi wamejazana mitaani ,ajira hakuna.
7. Biashara ya ndege imeshikiliwa na makampuni makubwa kutoboa hapo si leo.



Kura kwa JPM
lakini hayo ni baadhi ya madhaifu.
 
Umeandika pumba tupu.
 
Pesa za tetemeko, katazame Ukarabati mkubwa uliofanyika Ihungo na Nyakato sekondari.
Zile shule zimekuwa mpya na za kisasa. Kama huamini kazitembelee uone kazi iliyofanyika. Big up JPM
Hiyo nyakato iko wapi mkuu?
 
Tatizo la wana ccm. Mnadhani nchi zote za afrika zinawaza kama watanzania.
Nikwambie tu kuna nchi hapa africa zina viongozi hora kuliko hata jpm mwenyewe. Na wananchi wao wanaamini ni bora hapa afrika.
Tanzania inamuhitaji lakin si afrika. Unless umetembea nchi zote za afrika ukauliza au ukafanya research.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…