Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

Hata akina Hitler walikuwa hawacheki na KIMA during there time that's why tunaona Europe ya sasa. Go Magu Go....!!!

Sent from my Infinix X624 using JamiiForums mobile app
As if hitler ndio ameifanya europe iendelee? Damn
Tango pori hili. He was a war monger.. with extreme patriotism for germany.
For Europe .No. tena europe wangezubaa wangekuwa wanaongea kijerumani hadi.leo
 
Hii Ni kweli tupu.
 
Labda Afrika ya kuzimu.
 
Ki
 
 
Chagua Magufuli, chagua Maendeleo
Miaka 5 tu kajenga uwanja wa ndege na mahoteli kijijini kwake kwa matumizi yake binafsi huku mamilioni wakiwa fukara, Chato yenyewe tu Wana shida ya maji hatari
 
Huduma za afya zimeboreshwa zaidi, Tiba tulizozifuata India na Ulaya mfano kupandikiza Figo, upasuaji wa moyo, saivi ni hapa hapa Bongo. Apolo wanalia, hawapati wagonjwa kutoka Tanzania
 
Umenena
 
Maendeleo ya wachache sio maendeleo ya wote
Reli, Barabara, afya, maji na umeme, hizo ni nyenzo za MAENDELEO ya wote, usipotoshe, Mchague JPM, hana longo longo, MAENDELEO hayana Chama
 
Reli, Barabara, afya, maji na umeme, hizo ni nyenzo za MAENDELEO ya wote, usipotoshe, Mchague JPM, hana longo longo, MAENDELEO hayana Chama
Matendo yake mabaya dhidi ya watu ndi yamemuharibia alianza vizuri kila mtu alimpenda kabla ya kulewa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…