Uchaguzi 2020 Magufuli si mgombea wa Tanzania pekee bali Afrika nzima inamuhitaji

Mlevi wa madaraka ngoja tumpumzishe tukutane 2025 sijui Kama ccm watampa ridhaa Tena maana kule ndo hawataki ata kumsikia
 
Huyo JPM labda anahitajika na Familia yako sio watu wanaojielewa.Yaani ukiwa CCM lazima ukose mbingu.Hapo hujagusia bodi ya mikopo,Hafai hata kuongoza Familia.Mitano inamtosha
 
Reli, Barabara, afya, maji na umeme, hizo ni nyenzo za MAENDELEO ya wote, usipotoshe, Mchague JPM, hana longo longo, MAENDELEO hayana Chama
Tangu nchii hii iumbwe hakuna awamu ambayo mtza ameishi maisha ya ufukara Kama awamu hata ya Nyerere ilikuwa nafuu angalau
 
October 28 delete CCM,Nawasihi tukapige kura ili tuandike historia tuuangushe utawala dhalimu na kibabe wa JPM
 
Wewe na kizazi chako chote unamhitaji sana JPM ili kuijenga Tanzania mpya
Kama ni mtumishi wa serikali mchague Lisu upate Deni lako la nyongeza ya mshahara ya miaka mitano hakuna chenji itakayobakia
 
Huyo JPM labda anahitajika na Familia yako sio watu wanaojielewa.Yaani ukiwa CCM lazima ukose mbingu.Hapo hujagusia bodi ya mikopo,Hafai hata kuongoza Familia.Mitano inamtosha
Wanaojielewa wooote wanamkubali JPM, fungua macho na masikio yako uione Dunia ndipo utagundua JPM ni Jembe. MPE Kura ya ndiyo kwa MAENDELEO ya nchi
 
Naunga mkono moja.Pia katika kudumisha masula ya demokrasia, chaguzi za haki , haki za binadamu na uhuru wa habari
 
Sisi watumishi wa Umma, tumemuelewa Magufuli na tutamchagua. Amerejesha nidhamu serikalini, ameondoa upendeleo kazini, analipa madeni na kupandisha madaraja, amehakiki vyeti na kuondoa wasomi hewa waliokuwa wanatuharibia kazi. Amepandisha mishahara kwa kupunguza kodi hivyo kuwaacha solemba wafanyabiashara ambao husubiria tamko LA nyongeza ya mishahara ili wapandishe bei za bidhaa, ameleta Elimu bure hivyo hatulipi ada, ameboresha huduma za bima ya afya hivyo hatutumii mishahara kusaka tiba. Watumisho wote kura kwa JPM
Kama ni mtumishi wa serikali mchague Lisu upate Deni lako la nyongeza ya mshahara ya miaka mitano hakuna chenji itakayobakia
 
Africa ya wapi? Watanzania wa wapi? Unawasemea?au ni wa wa hapo gheto unaposhinda ukivuta Bangi na kuja na long story isiyo na chochote cha maana , CCM acheni kusumbua watu mitandaoni na hii mistory mirefu ya kishamba isiyo na laana, Tambueni kuwa watanzania wameamka wanajua kuwa miradi yote mikubwa ina ufisadi wa kutisha hakuna kinachofonywa na CCM kikakosa kuwa na wizi ubadhirifu ndani yake, CCM kwa Akili zenu ndogo bado mmekariri maendeleo ni Hisani za CCM utazani ni pesa zenu binafsi tokea mfukoni, pesa za walipa kodi inapigwa kupitia miradi ya CCM kisha CCM huja na kujidai eti wameleta maendeleo, hakuna Mtanzania mwenye Akili timamu ataweza kuipigia CCM kura
 
Ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge na wizi wa trilion 1.5 kisha kumtoa CAG kafara, Ndungai kutibiwa kwa bilion 12 huku mikataba ya madini ikiwa siri na watanzania kukosa Noa zao walizoahidiwa
 
Leta ushahidi hapa, acha majungu, chagua JPM kwa MAENDELEO ya Nchi
Upewe ushahidi wewe shetani ili iweje? Wakati hapo ulipo umevuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba umekariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM mpaka kujitoa fahamu zote.
 
Mlevi wa madaraka ngoja tumpumzishe tukutane 2025 sijui Kama ccm watampa ridhaa Tena maana kule ndo hawataki ata kumsikia
Labda useme mlevi wa uzalendo na MAENDELEO ya nchi. MPE kura yako kwa Tanzania mpya
 
Wale wote wanaomchukia JPM kwa njia moja au nyingine wameguswa na economic policies zake, lazima wamchukie ambao hata 10% ya wapiga kura waliojiandikisha 2020 hawafiki
Wewe ni mnufaika wa kuwabambikia kesi watu unapewa Rushwa wewe utakuwa umepata 10%ununuzi wa Ndege, ujenzi wa chato Airport kienyeji pasipo idhini ya bunge ni economic policies zake? na pia wizi wa trilion 1.5 ni economic policies zake?
 
Labda useme mlevi wa uzalendo na MAENDELEO ya nchi. MPE kura yako kwa Tanzania mpya
Uzalendo wa CCM ni kuwabambikia wafanyabiashara kodi kubwa kupitia TRA kuwapora mali zao? Uzalendo ni kuwabambikia kesi kesi uonevu unyanyasaji uovu kuwapiga risasi wapinzani?
 
Hakuna nchi duniani yenye imemaliza hayo mambo msiionee Tanzania
Tanzania ni Nchi yenye rasilimali nyingi kuliko mataifa mengi Duniani ni Nchi ilipaswa iwe tajiri kuliko America kama siyo CCM mda huu Tanzania ingekuwa ni Nchi tajiri mno lakini CCM wameifirisi Nchi kwa kuchukua pesa za viwanda pesa za maendeleo zinatumika kudidimiza demokrasia kudhoofisha kuihujumu chadema hawataki maendeleo
 
Hahaaaa, mwenye akili timamu na ufahamu, atamchagua Magufuli
Kaumiza Makundi yote kwenye Jamii
Makundi ya mashoga, makundi ya vyeti feki, wapiga dili, makundi ya ulaji wa mishahara hewa, makundi ya ujangili wa wanyama pori, makundi ya wezi wa madini, makundi ya vibaraka wa mabeberu. Hayo kweli, yameumizwa. Mitano tena ili ayateketeze kabisaaa
Upewe ushahidi wewe shetani ili iweje? Wakati hapo ulipo umevuta Bangi gheto kwa cyprian Musiba umekariri zidumu fikra zisizo sahihi za mtukufu mwenyekiti wa CCM mpaka kujitoa fahamu zote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…