Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
MAGUFULI SITAKUCHAGUA, WEWE ULE BATA, MIMI NISOTE.
Na, Robert Heriel.
Haya ni maamuzi yangu, wala sitaki mtu ayaingilie. Nimeamua kwa akili zangu. Bahati njema mimi sio Mnafiki, nyeupe ni nyeupe, Nyeusi ni nyeusi...
Unajitahidi kutumia Fasihi vizuri sana.
Na pia wewe ni mwandishi mzuri sana .
Ila ukitumia fasihi ngumu kidgo kama hizi ni wachache wanaokuelewa...
Rubbish
Kura yako moja ina impacto gani?MAGUFULI SITAKUCHAGUA, WEWE ULE BATA, MIMI NISOTE.
Na, Robert Heriel.
Haya ni maamuzi yangu, wala sitaki mtu ayaingilie. Nimeamua kwa akili zangu. Bahati njema mimi sio Mnafiki, nyeupe ni nyeupe, Nyeusi ni nyeusi...
Siku zote ukweli unauma..jamaa kasema ukweli mtupu na Ni wajinga na wapumbavu ndo watampingaKura yako moja ina impacto gani?
Kwani kwa sasa analipwa sh ngapi?Siku zote ukweli unauma..jamaa kasema ukweli mtupu na Ni wajinga na wapumbavu ndo watampinga