Wakudadavuwa
JF-Expert Member
- Feb 17, 2016
- 17,506
- 16,003
Amsterdam kala wa chuya
MAGUFULI SITAKUCHAGUA, WEWE ULE BATA, MIMI NISOTE.
Na, Robert Heriel.
Haya ni maamuzi yangu, wala sitaki mtu ayaingilie. Nimeamua kwa akili zangu. Bahati njema mimi sio Mnafiki, nyeupe ni nyeupe, Nyeusi ni nyeusi...