Magufuli: The Road To Hell Is Paved With Good Intentions

Barrick kushirikiana na Tanzania kujenga mtambo wa kuchenjua dhahabu


By Mwandishi Wetu, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz
IN SUMMARY
Profesa Thornton ameyasema hayo leo (Jumatano) Ikulu alipokutana na Rais John Magufuli kwa ajili ya kujadiliana kuhusu sakata la mchanga wa madini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold ya Canada, Profesa John Thornton amesema atashirikiana na Tanzania kujenga mtambo wa kuchenjulia dhahabu hapa nchini (smelter).

Profesa Thornton ameyasema hayo leo (Jumatano) Ikulu alipokutana na Rais John Magufuli kwa ajili ya kujadiliana kuhusu sakata la mchanga wa madini.

Pia, Profesa Thornton amesema kampuni yake ipo tayari kufanya mazungumzo na Tanzania yatakayozingatia maslahi ya pande zote mbili na pia ipo tayari kulipa fedha zote ambazo inapaswa kulipa kwa Tanzania.

Barrick kushirikiana na Tanzania kujenga mtambo wa kuchenjua

MwendaOmo n other Kenyan fools do u see how stupid u r? I advice u n ur fellow Kenyans in here to direct ur efforts to help the 2007 PEV victims who lost their land r still in refugees camp till now. Idiot of highest order..



nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Taratibu tunaokota senti nyuma ya sofa.
 
Inasikitisha sana kuanzisha thread huku hujui uhalisia wa kinachozungumziwa! Next time ukiongea kuhusu nchi nyingine jipe muda kidogo wa kutafuta ukweli wa jambo husika!
 
Kazi nzuri sana hii! Kwa huu mwendo wa reform tunaoufanya sasa tutafika!
 


Kwa hiyo tukusaidiaje sasa, labda?
 
Nimeangalia sa hizi clouds tv, barrick wamesema watakaa na serikali kupitia hasara tuliyopatikana na watalipa fidia ASAP
 
Mavi matupu
 
Umeona sasa ulivyokosea wewe MwendaOmo?
 
Duh nimemsikiliza huyu raia. Pole zao, ndio capitalism hiyo.
Siku hawa 95% wa chini wakiamka kudai aridhi yao, fedha zao za mashirika ya umma, mali zao chini ya serikali, sijuwi wale wakubwa wa 5% watakimbilia wapi.
 
Kuona lipi? Kweli nyie ni wadanganyika. Hamsaidiki. Basi tukutane baada ya miezi minne

Hawa waache, ndio show zao ambazo hazijaanza jana, huu mjadala wa madini wamezoea kuzunguka mbuyu tangu hapo awali na wataliwa sana. Ukiskliza hotuba za Tundu Lissu ndio utajua ni kamchezo fulani hao hucheza kila wakikurupuka. Wanaliwa sana kule migodini wacha haya makinikia wanapigia makelele.

Sasa kwenye huu uzi wanajitekenya tekenya na kucheka cheka ilhali hiyo kampuni ya Acacia imetoa taarifa inayokinzana na kile wanachekea. Hebu check hapa Barrick: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

 
Nani mmiliki wa Acacia?? Chunguza kabla ya kiandika. Baba yao Acacia ambaye ni Barrick ameshakubali kukaa chini na kuongea hao watoto watasena nini.
 
Hiyo ripoti umeipata wapi mkuu?
 
We unamsikiliza Lisu? Huyo sasa hivi anatukanwa na kila sane citizen. Najua imewauma sana kusikia kutakuwa na malipo watailipa Tz, sababu zile kelele zenu za Tz kuibiwa sijui shamba la bibi tunakwenda kuzizika. Na mikataba yote hadi ya gesi itapitiwa upya na kuwekwa win win situation if there was none.
Nyie sasa badala ya kumshangilia mpuuzi Lisu, mjifunze kutoka kwa Magufuli na mrekebishe mikataba yenu ya kinyonyaji kwenye migodi yenu, mnajifanyaga hamna rasilimali wakati tunajua mnazo na mnaibiwa.
 
Huyo jamaa yawezekana ametumwa na mwanasheria uchwara,hao ndiyo hata ukimuuliza analalamikia nini atakujibu hajui
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…