Magufuli: The Road To Hell Is Paved With Good Intentions

Barrick kushirikiana na Tanzania kujenga mtambo wa kuchenjua dhahabu

pic+mtambo.png

By Mwandishi Wetu, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz
IN SUMMARY
Profesa Thornton ameyasema hayo leo (Jumatano) Ikulu alipokutana na Rais John Magufuli kwa ajili ya kujadiliana kuhusu sakata la mchanga wa madini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold ya Canada, Profesa John Thornton amesema atashirikiana na Tanzania kujenga mtambo wa kuchenjulia dhahabu hapa nchini (smelter).

Pia, Profesa Thornton amesema kampuni yake ipo tayari kufanya mazungumzo na Tanzania yatakayozingatia maslahi ya pande zote mbili na pia ipo tayari kulipa fedha zote ambazo inapaswa kulipa kwa Tanzania.

Barrick kushirikiana na Tanzania kujenga mtambo wa kuchenjua

MwendaOmo n other Kenyan fools do u see how stupid u r? I advice u n ur fellow Kenyans in here to direct ur efforts to help the 2007 PEV victims who lost their land r still in refugees camp till now. Idiot of highest order..

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
 
Taratibu tunaokota senti nyuma ya sofa.
 
Mara kadhaa katika jukwa hili na majukwaa mengine, nilisema kwamba Kenya inahitaji Rais Kama Magufuli. Nakumbuka hata kuna wakati tulipingana sana na MK254 kuhusu systems vs personalities. MK254 alimsifu Magufuli kwa nia yake, lakini alikuwa very cautious kuhusu mtindo wake wa kufanya mambo. Mimi naye, nilikuwa upande ule mwingine wa kutaka ule mtindo wa Magufuli. Siku ya leo, nakubali kuwa nilikuwa nimekosea. Ingawa taifa linahitaji kiongozi mwenye mamlaka kama vile Kagame, kiongozi huyu yafaa awe na nia ya kuweka taasisi zitakazodumu kuliko madaraka yake mwenyewe.

Magufuli ni kiongozi ambaye anatakia taifa lake mema. Tatizo lake ni kukurupuka na kuwafanya wote ambao wako upande wake kuwa adui ikiwa hawatakubaliana naye kwa vitu vyote. Juzi amekurupuka kwa hili la kuibiwa mali ya taifa, na vile ninavyoona, kuna vile kamati imemdanganya hata kwa mambo ya kiupuzi. Kwa mfano; kamati yamuambia kuwa Kampuni ya Acacia, haijasajiliwa Kule Tanzania; itakuwaje basi kampuni hii iwe inalipa Ushuru, PAYE na mengine yote? Huu sio upuuzi tu? Wakati anapokea ripoti hii, Rais alisema kuwa anakubaliana na mapendekezo yote 100%. Hii ni ripoti amabyo hata hajasoma na ndio anapokea tu. Hata hujawauliza civil servants walio ndani for second opinion?

Upuuzi huu huu ndio alioufanya kule kwenye bandari. Sasa hivi, vitu vinavyopita kwa bandari ya Dar vimepunguwa kwa asilimia 13%. Vitu vinavyopitia bandari ya Mombasa na kuingia Tanzania vimeongezeka kutoka 1% hadi 2.7%. Ni kitu gani kinafanyika huku? Kwa kweli uongozi unahitaji busara. Ndiposa wazungu walinena: "The road to hell is paved with good intentions."

Ukitazama video hii ya mbunge wa CCM, utaona kuanzia dakika 7, akiongelea ya bandari

Inasikitisha sana kuanzisha thread huku hujui uhalisia wa kinachozungumziwa! Next time ukiongea kuhusu nchi nyingine jipe muda kidogo wa kutafuta ukweli wa jambo husika!
 
Barrick kushirikiana na Tanzania kujenga mtambo wa kuchenjua dhahabu

pic+mtambo.png

By Mwandishi Wetu, Mwananchi mwananchipapers@mwananchi.co.tz
IN SUMMARY
Profesa Thornton ameyasema hayo leo (Jumatano) Ikulu alipokutana na Rais John Magufuli kwa ajili ya kujadiliana kuhusu sakata la mchanga wa madini.

Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Barrick Gold ya Canada, Profesa John Thornton amesema atashirikiana na Tanzania kujenga mtambo wa kuchenjulia dhahabu hapa nchini (smelter).

Profesa Thornton ameyasema hayo leo (Jumatano) Ikulu alipokutana na Rais John Magufuli kwa ajili ya kujadiliana kuhusu sakata la mchanga wa madini.

Pia, Profesa Thornton amesema kampuni yake ipo tayari kufanya mazungumzo na Tanzania yatakayozingatia maslahi ya pande zote mbili na pia ipo tayari kulipa fedha zote ambazo inapaswa kulipa kwa Tanzania.

Barrick kushirikiana na Tanzania kujenga mtambo wa kuchenjua

MwendaOmo n other Kenyan fools do u see how stupid u r? I advice u n ur fellow Kenyans in here to direct ur efforts to help the 2007 PEV victims who lost their land r still in refugees camp till now. Idiot of highest order..

nomasana, sam999, NairobiWalker, hbuyosh, msemakweli, simplemind, Kimweri, Bulldog, MK254, Kafrican, Ngongo, Ab_Titchaz, mtanganyika mpya, JokaKuu, Ngongo, Askari Kanzu, Dhuks, Yule-Msee, waltham, Mzee, mombasite gabriel, Juakali1980, Boda254, mwaswast, MwendaOmo, Iconoclastes, oneflash, Kambalanick, 1 Africa, saadeque, burukenge, nyangau mkenya, Teen-Upperhill Nairobi, kadoda11
Kazi nzuri sana hii! Kwa huu mwendo wa reform tunaoufanya sasa tutafika!
 
Mara kadhaa katika jukwa hili na majukwaa mengine, nilisema kwamba Kenya inahitaji Rais Kama Magufuli. Nakumbuka hata kuna wakati tulipingana sana na MK254 kuhusu systems vs personalities. MK254 alimsifu Magufuli kwa nia yake, lakini alikuwa very cautious kuhusu mtindo wake wa kufanya mambo. Mimi naye, nilikuwa upande ule mwingine wa kutaka ule mtindo wa Magufuli. Siku ya leo, nakubali kuwa nilikuwa nimekosea. Ingawa taifa linahitaji kiongozi mwenye mamlaka kama vile Kagame, kiongozi huyu yafaa awe na nia ya kuweka taasisi zitakazodumu kuliko madaraka yake mwenyewe.

Magufuli ni kiongozi ambaye anatakia taifa lake mema. Tatizo lake ni kukurupuka na kuwafanya wote ambao wako upande wake kuwa adui ikiwa hawatakubaliana naye kwa vitu vyote. Juzi amekurupuka kwa hili la kuibiwa mali ya taifa, na vile ninavyoona, kuna vile kamati imemdanganya hata kwa mambo ya kiupuzi. Kwa mfano; kamati yamuambia kuwa Kampuni ya Acacia, haijasajiliwa Kule Tanzania; itakuwaje basi kampuni hii iwe inalipa Ushuru, PAYE na mengine yote? Huu sio upuuzi tu? Wakati anapokea ripoti hii, Rais alisema kuwa anakubaliana na mapendekezo yote 100%. Hii ni ripoti amabyo hata hajasoma na ndio anapokea tu. Hata hujawauliza civil servants walio ndani for second opinion?

Upuuzi huu huu ndio alioufanya kule kwenye bandari. Sasa hivi, vitu vinavyopita kwa bandari ya Dar vimepunguwa kwa asilimia 13%. Vitu vinavyopitia bandari ya Mombasa na kuingia Tanzania vimeongezeka kutoka 1% hadi 2.7%. Ni kitu gani kinafanyika huku? Kwa kweli uongozi unahitaji busara. Ndiposa wazungu walinena: "The road to hell is paved with good intentions."

Ukitazama video hii ya mbunge wa CCM, utaona kuanzia dakika 7, akiongelea ya bandari

Kwa hiyo tukusaidiaje sasa, labda?
 
Nimeangalia sa hizi clouds tv, barrick wamesema watakaa na serikali kupitia hasara tuliyopatikana na watalipa fidia ASAP
 
Mavi matupu
 
Umeona sasa ulivyokosea wewe MwendaOmo?
 
Duh nimemsikiliza huyu raia. Pole zao, ndio capitalism hiyo.
Siku hawa 95% wa chini wakiamka kudai aridhi yao, fedha zao za mashirika ya umma, mali zao chini ya serikali, sijuwi wale wakubwa wa 5% watakimbilia wapi.
 
Kuona lipi? Kweli nyie ni wadanganyika. Hamsaidiki. Basi tukutane baada ya miezi minne

Hawa waache, ndio show zao ambazo hazijaanza jana, huu mjadala wa madini wamezoea kuzunguka mbuyu tangu hapo awali na wataliwa sana. Ukiskliza hotuba za Tundu Lissu ndio utajua ni kamchezo fulani hao hucheza kila wakikurupuka. Wanaliwa sana kule migodini wacha haya makinikia wanapigia makelele.

Sasa kwenye huu uzi wanajitekenya tekenya na kucheka cheka ilhali hiyo kampuni ya Acacia imetoa taarifa inayokinzana na kile wanachekea. Hebu check hapa Barrick: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

img_20170614_193830_623-jpg.523919
 
Nani mmiliki wa Acacia?? Chunguza kabla ya kiandika. Baba yao Acacia ambaye ni Barrick ameshakubali kukaa chini na kuongea hao watoto watasena nini.
 
Hili la madini kwa kweli imebidi nilitazame kwa mbali maana wanazungushana zungushana kwenye mbuyu hadi watu wote wanabaki ovyo. Kwa kweli Watanzania wamekua wakipigwa miaka yote hii, hiyo sio siri, tena kizembe sana. Sote tunajua wana madini mengi, wana raslimali nyingi lakini kwa kuwa wana umaskini mkubwa, hiyo ni ishara tosha wao huibiwa na kwa ushirikiano wa Watanzania wachache.

Nilisoma hiyo ripoti hadi nikabaki kinywa wazi, hayo mabilioni yanasomwa hadi naishia kulewa maana zero zinakua nyingi na inatia hasira hata kwa mimi Mwafrika ambaye sio Mtanzania.

Lakini kama ulivyosema, Magufuli amejitoa ufahamu na kutoa matamko ambayo haonekani kuwa makini. Ni kweli ni rais mzalendo, ni rais mwenye uchungu na nchi yake, hilo halina ubishi, ni rais mwenye kuitakia nchi yake mazuri, lakini aidha hana wanasheria wanaomshauri hatua kwa hatua, au wote wanamwambia vitu anavyovitaka kuviskia ili wamfurahishe, na hili litakua kweli, ukiwaangalia sana sana wafuasi wa CCM hata huku kwenye mitandao hubadilika badilika na kufuata mkumbo, kwamba rais akiibuka na hili leo wote wanalitetea, akiliponda kesho, wote vivyo hivyo wanaliponda hiyo kesho. Sasa kwa kauli hiyo, anakosa washauri wa kweli na wanaompa taarifa kama jinsi zilivyo.

Kwa Tanzania ambapo rais ana nguvu kupitiliza kwamba hawezi kuhojiwa wala kuzuiwa na taasisi yoyote tofauti na ilivyo Kenya, inakua hatari sana. Leo hii Watanzania wanalipia umeme hewa ambapo waliingia kwenye mikataba kiholela hadi ikawatokea puani. Sasa usipokua makini kwenye haya maamuzi, utajikuta unalipia mpaka basi maana humo kuna makubaliano hata ya kimataifa. Yaani nawaza hivi marais waliostaafu wanahisi vipi wakiona hizi show zote maana kama kweli, itakua haya mambo yote yalikua yanatendeka ndani ya uongozi wao.

Hebu itazame hii hotuba ya Tundu Lissu

Hiyo ripoti umeipata wapi mkuu?
 
Hawa waache, ndio show zao ambazo hazijaanza jana, huu mjadala wa madini wamezoea kuzunguka mbuyu tangu hapo awali na wataliwa sana. Ukiskliza hotuba za Tundu Lissu ndio utajua ni kamchezo fulani hao hucheza kila wakikurupuka. Wanaliwa sana kule migodini wacha haya makinikia wanapigia makelele.

Sasa kwenye huu uzi wanajitekenya tekenya na kucheka cheka ilhali hiyo kampuni ya Acacia imetoa taarifa inayokinzana na kile wanachekea. Hebu check hapa Barrick: Hatujafikia makubaliano yoyote ya kuilipa Tanzania

img_20170614_193830_623-jpg.523919
We unamsikiliza Lisu? Huyo sasa hivi anatukanwa na kila sane citizen. Najua imewauma sana kusikia kutakuwa na malipo watailipa Tz, sababu zile kelele zenu za Tz kuibiwa sijui shamba la bibi tunakwenda kuzizika. Na mikataba yote hadi ya gesi itapitiwa upya na kuwekwa win win situation if there was none.
Nyie sasa badala ya kumshangilia mpuuzi Lisu, mjifunze kutoka kwa Magufuli na mrekebishe mikataba yenu ya kinyonyaji kwenye migodi yenu, mnajifanyaga hamna rasilimali wakati tunajua mnazo na mnaibiwa.
 
Hiyo video ya mbunge unamjua vizuri huyo mbunge? Ni mfuasi wa Edward Lowassa, kwa hakika 2020 abadili chama maana hatapata nafasi tena ndani ya CCM.

Kuhusu bandarini, kilichofanya mizigo ipungue sio Magufuli. Ni sheria ya kuweka VAT kwenye transit goods Julai 1, 2015 chini ya Jakaya Kikwete na wizi uliopitiliza. Sasa hivi mizigo imeongezeka na inazidi kuongezeka.

Kuhusu Acacia kusajiliwa ama kutokusajiliwa, kwa hakika watu waliopewa kazi ya uchunguzi wanajua mambo kuliko wewe. Wewe hujui hata sheria moja ya Tanzania madai yako hayana nguvu hata kidogo.

Madai yako ya kukurupuka hayana msingi maana hujui ngazi za maamuzi Tanzania.
Huyo jamaa yawezekana ametumwa na mwanasheria uchwara,hao ndiyo hata ukimuuliza analalamikia nini atakujibu hajui
 
Back
Top Bottom