andjul
JF-Expert Member
- Dec 14, 2013
- 18,773
- 119,820
Mbunge wa Mbeya vijijini(Mbalizi) ni Ccm.tutajuaje wakati mbunge hakai bungeni
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbunge wa Mbeya vijijini(Mbalizi) ni Ccm.tutajuaje wakati mbunge hakai bungeni
Huyu mzee kumwelewa inabidi uwe punguwaniWilaya ya chemba iko mkoa wa dodoma, hawajui sura ya maji.hawana connection? Anawambia wananchi maendeleo hayana chama wakati huo huo anaomba kura Ili aongoze
Ni kweli Rais ana washauri wake rasmi, hao ndio wakimshauri atawasikiliza.
Maendeleo hayana unafki "eti mlifanya kosa na nyie mnajua, " ina maan vyama vya upinzani vilianzishwa na RWANDA?Kampeni zinaendelea nchini na sasa Magufuli yuko Mbalizi amesimama kusalimia wananchi waliokusanyika barabarani akielekea Songwe. Baada ya kuongelea mengi pia ameongelea hali ya sekta ya maji Mbalizi na kusema kuna kipindi alipita eneo husika na alikuta tatizo la maji na wakaamua bilioni tatu zitolewe na ameambiwa mradi ni wa mserereko na maji yameanza kuja na kilichobaki ni kuyasambaza. Akaendele...
MAGUFULI: Lakini lazima niwaambie niwaambie ndugu zangu wa Mbalizi, tulikuwa tumekosa connection, hamkuwa na msemaji na haya ndio makosa ya kuchagua kwa jazba. Mliniletea madiwani wa vyama vingine hapa, nasema uongo? Haya ndio huwa ni malipo yake na mimi wana-Mbalizi lazima niwaambie ukweli.
Kufanya kosa ni kosa, kurudia kosa? Nawaomba mwaka huu mfanye mabadiliko makubwa.
Hapa napajua, ni mahali pa biashara, watu wana vision nzuri, watu wana muelekeo mzuri lakini mnajichelewesha saa nyingine ndugu zangu na ndio maana suala la maji hakuna mtu aliyekuja kuniambia mpaka siku nilipopita hapa, sasa mwaka huu mniletee madiwani wa CCM kwa sababu maendeleo hayana chama.
Ninafahamu mna changamoto, moja ya changamoto ni ombi la barabara ya Mbalizi-Shigamba kilomita 52, hii barabara nimeshaipitia mimi. Mtampa kura lakini kweli huyu mbunge? mtawapa na madiwani? Kweli watu wa Mbalizi mtafanya hivyo? Au mnanizungumzia hapa nitoke nimefurahi alafu baadae mnafanya mambo yenu?
Wangapi watampa mbunge kwanza tukubaliane na Mungu anawaomna mmenyoosha mikono na wangapi watawapa madiwani pamoja na diwani wa hapa? Mnafanya mabadiliko? (Wananchi: Ndiooo)
Haya wasaidizi wangu naomba muandike hii, hii barabara ya Mbalizi-Sigamba kilomita 52 baada ya uchaguzi tukishamaliza, kipindi kinachokuja, mimi naji-commit mwenyewe mbele ya wananchi wa Mbalizi, tutaitengeneza kwa kiwango cha lami.
Ni kweli Rais ana washauri wake rasmi, hao ndio wakimshauri atawasikiliza.
Kuyumbishwa maamuzi ya anachokisena jirani ni ishara ya kutojiamini. Mfano mzuri ulikuwa mikakati ya kupambana na corona. Ndio maana tuna rais wa kujivunia nae.
[/QUO
Kujua kusoma na kuandika ndiko tatizo lako. Bakini naye alijiita JIWE
Anasalimia kama raisiWao kusimama na kusalimia wananchi ni halali,lakini kwa CHADEMA ni haramu
Cheti Cha kuzaliwa?Huyu hakupaswa kuwa Rais wa JMT!
Chief hapo ndio ujue sasa mwenye umbwa ninani na umbwa ninani, lisu hata akishinda ikulu haendi hatuwezi kuwapa inchi , wanao lewa pombe na kuteleza kisha wanadanganya umma kwamba wameshambuliwa. Na hakuna la kufanya zaidi ya kerere tu, kila kitu kupinga tu hata kama ni kwa faida ya taifa hata juhudi alizo chukua mgufuri wakati wa korona, magufuri aliomba watu wote tumlilie mungu lisu na chama chake walipinga mpaka kudiriki kukimbia bungeni wanataka tujifungie ndani, hebu jiulize kama tunge jifungia ndani hizo kampeni wangefanyia wapi, haya nisaidie jibu hapo korona iko wapi? amini nakwambia chadema ni wahuni tu nikushauli tu njoo ccm hutajuta hasa huu utawala wa magu ni mzalendo wa kweri, angalia umeme tumesha sahau kabisa kuhusu mugao hizi zoye ni juhudi za magufuri mambo ni mengi sana.Wao kusimama na kusalimia wananchi ni halali,lakini kwa CHADEMA ni haramu
Anasalimia au anapiga kampeni?Lissu anaposema Uhuru,haki na maendeleo ya watu vitaluwa vipaumbele vyake,hoja zake zinaeleweka na dola mnasaidia kuwaelewesha wananchi!Anasalimia kama raisi
Waliokuwa na miaka 13 mwaka 2015 Sasa Wana miaka 18 ni wapiga kura uchaguzi mkuu October. Sasa wale waliokuwa na miaka 13,14,15,16,17, mwaka 2015 hawakupiga kura Sasa wanapita kura . Hilo ni kundi kubwa sana la vijana,hawamuelewi magufuli anachoongea kuhusu SGR,bwawa la umeme,majengo na lami. Kuna dalili kubwa TL kuchomoka Kama risasi uchaguzi huu.Kampeni zinaendelea nchini na sasa Magufuli yuko Mbalizi amesimama kusalimia wananchi waliokusanyika barabarani akielekea Songwe. Baada ya kuongelea mengi pia ameongelea hali ya sekta ya maji Mbalizi na kusema kuna kipindi alipita eneo husika na alikuta tatizo la maji na wakaamua bilioni tatu zitolewe na ameambiwa mradi ni wa mserereko na maji yameanza kuja na kilichobaki ni kuyasambaza. Akaendele...
MAGUFULI: Lakini lazima niwaambie niwaambie ndugu zangu wa Mbalizi, tulikuwa tumekosa connection, hamkuwa na msemaji na haya ndio makosa ya kuchagua kwa jazba. Mliniletea madiwani wa vyama vingine hapa, nasema uongo? Haya ndio huwa ni malipo yake na mimi wana-Mbalizi lazima niwaambie ukweli.
Kufanya kosa ni kosa, kurudia kosa? Nawaomba mwaka huu mfanye mabadiliko makubwa.
Hapa napajua, ni mahali pa biashara, watu wana vision nzuri, watu wana muelekeo mzuri lakini mnajichelewesha saa nyingine ndugu zangu na ndio maana suala la maji hakuna mtu aliyekuja kuniambia mpaka siku nilipopita hapa, sasa mwaka huu mniletee madiwani wa CCM kwa sababu maendeleo hayana chama.
Ninafahamu mna changamoto, moja ya changamoto ni ombi la barabara ya Mbalizi-Shigamba kilomita 52, hii barabara nimeshaipitia mimi. Mtampa kura lakini kweli huyu mbunge? mtawapa na madiwani? Kweli watu wa Mbalizi mtafanya hivyo? Au mnanizungumzia hapa nitoke nimefurahi alafu baadae mnafanya mambo yenu?
Wangapi watampa mbunge kwanza tukubaliane na Mungu anawaomna mmenyoosha mikono na wangapi watawapa madiwani pamoja na diwani wa hapa? Mnafanya mabadiliko? (Wananchi: Ndiooo)
Haya wasaidizi wangu naomba muandike hii, hii barabara ya Mbalizi-Sigamba kilomita 52 baada ya uchaguzi tukishamaliza, kipindi kinachokuja, mimi naji-commit mwenyewe mbele ya wananchi wa Mbalizi, tutaitengeneza kwa kiwango cha lami.
Uliza KANU huko Kenya,watakujibu huko walioko. Wso Wana uzoefu mkubwa namna ya kukabidhi ikulu kwa amani,haki,na upendoChief hapo ndio ujue sasa mwenye umbwa ninani na umbwa ninani, lisu hata akishinda ikulu haendi hatuwezi kuwapa inchi , wanao lewa pombe na kuteleza kisha wanadanganya umma kwamba wameshambuliwa. Na hakuna la kufanya zaidi ya kerere tu, kila kitu kupinga tu hata kama ni kwa faida ya taifa hata juhudi alizo chukua mgufuri wakati wa korona, magufuri aliomba watu wote tumlilie mungu lisu na chama chake walipinga mpaka kudiriki kukimbia bungeni wanataka tujifungie ndani, hebu jiulize kama tunge jifungia ndani hizo kampeni wangefanyia wapi, haya nisaidie jibu hapo korona iko wapi? amini nakwambia chadema ni wahuni tu nikushauli tu njoo ccm hutajuta hasa huu utawala wa magu ni mzalendo wa kweri, angalia umeme tumesha sahau kabisa kuhusu mugao hizi zoye ni juhudi za magufuri mambo ni mengi sana.
Oooh jamani!!!Nimejikuta nakusikitikia!Andika yako tu inaonesha hujamaliza hata la saba halafu unajimwambafy eti "hatuwezi kumpa nchi",WTF?Chief hapo ndio ujue sasa mwenye umbwa ninani na umbwa ninani, lisu hata akishinda ikulu haendi hatuwezi kuwapa inchi , wanao lewa pombe na kuteleza kisha wanadanganya umma kwamba wameshambuliwa. Na hakuna la kufanya zaidi ya kerere tu, kila kitu kupinga tu hata kama ni kwa faida ya taifa hata juhudi alizo chukua mgufuri wakati wa korona, magufuri aliomba watu wote tumlilie mungu lisu na chama chake walipinga mpaka kudiriki kukimbia bungeni wanataka tujifungie ndani, hebu jiulize kama tunge jifungia ndani hizo kampeni wangefanyia wapi, haya nisaidie jibu hapo korona iko wapi? amini nakwambia chadema ni wahuni tu nikushauli tu njoo ccm hutajuta hasa huu utawala wa magu ni mzalendo wa kweri, angalia umeme tumesha sahau kabisa kuhusu mugao hizi zoye ni juhudi za magufuri mambo ni mengi sana.
Kwa hiyo unadhani wanamwelewa Tundu Lissu tuu na Magufuli hawamwelewi?Waliokuwa na miaka 13 mwaka 2015 Sasa Wana miaka 18 ni wapiga kura uchaguzi mkuu October. Sasa wale waliokuwa na miaka 13,14,15,16,17, mwaka 2015 hawakupiga kura Sasa wanapita kura . Hilo ni kundi kubwa sana la vijana,hawamuelewi magufuli anachoongea kuhusu SGR,bwawa la umeme,majengo na lami. Kuna dalili kubwa TL kuchomoka Kama risasi uchaguzi huu.
Pendo mbona mzee yupo poa sanaChato , buseresere, katoro hakuna maji hawana connection? Huyu baba ni muongo muogopeni Kama ukoma.
Jamani mnaona wenyewe tunavyoongozwa na mtu wa hovyo tusifanye makosa mwezi huu mwishoni.Kampeni zinaendelea nchini na sasa Magufuli yuko Mbalizi amesimama kusalimia wananchi waliokusanyika barabarani akielekea Songwe. Baada ya kuongelea mengi pia ameongelea hali ya sekta ya maji Mbalizi na kusema kuna kipindi alipita eneo husika na alikuta tatizo la maji na wakaamua bilioni tatu zitolewe na ameambiwa mradi ni wa mserereko na maji yameanza kuja na kilichobaki ni kuyasambaza. Akaendele...
MAGUFULI: Lakini lazima niwaambie niwaambie ndugu zangu wa Mbalizi, tulikuwa tumekosa connection, hamkuwa na msemaji na haya ndio makosa ya kuchagua kwa jazba. Mliniletea madiwani wa vyama vingine hapa, nasema uongo? Haya ndio huwa ni malipo yake na mimi wana-Mbalizi lazima niwaambie ukweli.
Kufanya kosa ni kosa, kurudia kosa? Nawaomba mwaka huu mfanye mabadiliko makubwa.
Hapa napajua, ni mahali pa biashara, watu wana vision nzuri, watu wana muelekeo mzuri lakini mnajichelewesha saa nyingine ndugu zangu na ndio maana suala la maji hakuna mtu aliyekuja kuniambia mpaka siku nilipopita hapa, sasa mwaka huu mniletee madiwani wa CCM kwa sababu maendeleo hayana chama.
Tunachowaomba ndugu zangu wa Mbalizi, maendeleo hayana chama ingawaje maendeleo ya kweli yatatokana na chama kinachojua maana ya maendeleo ni nini na chama hicho ni chama cha mapinduzi ambapo tumeyanakili yote yanayotakiwa kufanywa katika kitabu hiki cha ilani ya uchaguzi.
Hakuna chama chochote katika wagombeaji mtakaowakuta mambo yao wameyapanga katika kurasa 303 watakayoyatekeleza, wakipita hapa waonyesheni muwaombe, tuonyeshe ilani ya uchaguzi yao ina kurasa ngapi, sisi ni kurasa 303 maana yake yale tuliyafanya katika miaka mitano tumeongeza mara mbili zaidi ili Tanzania hii ibadilike.
Ninafahamu mna changamoto, moja ya changamoto ni ombi la barabara ya Mbalizi-Shigamba kilomita 52, hii barabara nimeshaipitia mimi. Mtampa kura lakini kweli huyu mbunge? mtawapa na madiwani? Kweli watu wa Mbalizi mtafanya hivyo? Au mnanizungumzia hapa nitoke nimefurahi alafu baadae mnafanya mambo yenu?
Wangapi watampa mbunge kwanza tukubaliane na Mungu anawaomna mmenyoosha mikono na wangapi watawapa madiwani pamoja na diwani wa hapa? Mnafanya mabadiliko? (Wananchi: Ndiooo)
Haya wasaidizi wangu naomba muandike hii, hii barabara ya Mbalizi-Sigamba kilomita 52 baada ya uchaguzi tukishamaliza, kipindi kinachokuja, mimi naji-commit mwenyewe mbele ya wananchi wa Mbalizi, tutaitengeneza kwa kiwango cha lami.
Kule Dar es Salaam nilipowaambia tutajenga maflyover mengi hata zaidi ya matano hawakuamini, hakuna aliemini kwamba unaweza ukapitisha gari ghorofa la tatu, mita zaidi ya 15 lakini leo ni mashahidi, tumeibadilisha Dar es Salaam, tumeweka pale zaidi ya bilioni 660. Hakuna cha msongamano au mtoto wa msongamono utatokea tena.
Ukweli unabaki kuwa ukweli, mahali ambapo hawajakuchagua haina tofauti na ukawa na watoto. Huwezi ukashibisha kwanza watoto wa nje kabla hujashibisha watoto wako wa kuzaa na watoto wangu wa kuzaa ni CCM.