Uchaguzi 2020 Magufuli: Tulikuwa tumekosa 'connection', hamkuwa na msemaji na ni makosa ya kuchagua kwa jazba

Mbunge wa hilo jimbo si alikuwa CCM? Yani hao madiwani wawili bado anaona wivu.
 
Maendeleo hayana unafki "eti mlifanya kosa na nyie mnajua, " ina maan vyama vya upinzani vilianzishwa na RWANDA?
 
 
Kwa hiyo wananchi wasipompitisha huyu mbunge ni kwamba hiyo lami haitojengwa???

Aibu naona mimi
 
Wao kusimama na kusalimia wananchi ni halali,lakini kwa CHADEMA ni haramu
Chief hapo ndio ujue sasa mwenye umbwa ninani na umbwa ninani, lisu hata akishinda ikulu haendi hatuwezi kuwapa inchi , wanao lewa pombe na kuteleza kisha wanadanganya umma kwamba wameshambuliwa. Na hakuna la kufanya zaidi ya kerere tu, kila kitu kupinga tu hata kama ni kwa faida ya taifa hata juhudi alizo chukua mgufuri wakati wa korona, magufuri aliomba watu wote tumlilie mungu lisu na chama chake walipinga mpaka kudiriki kukimbia bungeni wanataka tujifungie ndani, hebu jiulize kama tunge jifungia ndani hizo kampeni wangefanyia wapi, haya nisaidie jibu hapo korona iko wapi? amini nakwambia chadema ni wahuni tu nikushauli tu njoo ccm hutajuta hasa huu utawala wa magu ni mzalendo wa kweri, angalia umeme tumesha sahau kabisa kuhusu mugao hizi zoye ni juhudi za magufuri mambo ni mengi sana.
 
Anasalimia kama raisi
Anasalimia au anapiga kampeni?Lissu anaposema Uhuru,haki na maendeleo ya watu vitaluwa vipaumbele vyake,hoja zake zinaeleweka na dola mnasaidia kuwaelewesha wananchi!
Kinachofanyika kwa upinzani sio haki!
 
Waliokuwa na miaka 13 mwaka 2015 Sasa Wana miaka 18 ni wapiga kura uchaguzi mkuu October. Sasa wale waliokuwa na miaka 13,14,15,16,17, mwaka 2015 hawakupiga kura Sasa wanapita kura . Hilo ni kundi kubwa sana la vijana,hawamuelewi magufuli anachoongea kuhusu SGR,bwawa la umeme,majengo na lami. Kuna dalili kubwa TL kuchomoka Kama risasi uchaguzi huu.
 
Uliza KANU huko Kenya,watakujibu huko walioko. Wso Wana uzoefu mkubwa namna ya kukabidhi ikulu kwa amani,haki,na upendo
 
Oooh jamani!!!Nimejikuta nakusikitikia!Andika yako tu inaonesha hujamaliza hata la saba halafu unajimwambafy eti "hatuwezi kumpa nchi",WTF?
Kwa uandishi huo,huna hata sifa ya kuwa diwani!Sasa hapa nashangaa na wewe kujikuta umo katika waliomo na wenye CCM yao,Inasikitisha!
 
Kwa hiyo unadhani wanamwelewa Tundu Lissu tuu na Magufuli hawamwelewi?
 
Jamani mnaona wenyewe tunavyoongozwa na mtu wa hovyo tusifanye makosa mwezi huu mwishoni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…