mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Kwa eneo nilipo alitaja vilivyojengwa 2013.Ukisikiliza hotuba zake za kampeni jana Ikugi,Manyoni na Singida utaviskia akivitaja kwa majina...Sasa cha kufanya wewe tafta peni na katarasi uanze kuviandika akimaliza kampeni utakua umeshapata majina na idadi...then ulinganishe tuone km hesabu ipo sawa au lah.
wewe upo wapi na kataja kituo kipi cha 2013?Kwa eneo nilipo alitaja vilivyojengwa 2013