Magufuli: Wapinzani wanawaza Ipo Siku Watatawala, Wasahau

Tushaambiwa CCM ni chama cha mapinduzi na viongozi wake hawapatikani kwa vikaratasi vya kura ,sijui ni lini tutapata atakaye tutasfria kauli hii
 
Anasema hayo hata hajafikisha miezi sita kwenye madaraka.Imagine akifikisha miaka saba atasemaje!!
Anaweza kuamua kuufuta mfumo wa vyama vingi Ingawa itamgharimu maana hata nyerere alishinikizwa kuukubali huu mfumo ambao ni sumu ya watawala haswa nchi za afrika
 
Sasa si mfute tu vyama vingi mbaki wenyewe?
Kule zanzibar mmeachiwa nchi na cuf na bado mnalia lia badala ya kufurahia ushindi wa mezani.
"Asarama areku, Bwana Yesu asifiwe" - Magufuli anakusalimu.
Sasa wapenda mabadiliko wanajionea na kufahamu ni kwa nini Magu amekaa kimya kuhusu mkwamo wa Zanzibar.
Link Jecha alitumwa na nani kufuta matokeo ya Uchaguzi Zanzibar

Link2. Fedha za MCC tunazihitaji, masharti yanatekelezeka

Link3. Serikali yazungumzia tishio la Marekani
 
Hatuitoi, hatuitoi, kwanza nchi tumeipata kwa mapinduzi hatuwezi kuiacha kwa kura za karatasi labda watupindue, na kutupindua hawawezi maana sisi ndio wenye "MADARAKA". Mareheme Asha Bakari Makame
Huyo kesha pata hukumu tayari
 
Genge la wabaka demokrasia wakutana Singida.




kahhh hamna watu kabisaa.,..
watu wachache mnoooooo
angekuwa lowassa kaitisha mkutano hope pasingetosha
man of the people
kweli ccm haina chake kwa wananchi
nasubili mwenye ushahidi aje aseme hao watu wachache wamelipwa how much
hii ni aibu kwa maCCM
 
Ikifika muda na wakati wapinzani watashika dola tu, yuko wapi GADAFI. Wananchi wote wakipata ELIMU ya kujikomboa kifikra CHICHIEM lazima wakae chini tu.
 
Katika muktadha siasa, sherehe na ushereheshaji JPJM yuko sahihi. Hata hivyo si maneno ya kupendekeza katika muktadha wa demokrasia ya kweli!

Nitasema zaidi nikisikiliza hiyo clip vizuri!
 
Vipi naona mkutano wa CCM uko Live? Kwa nini haukurekodiwa na kuoneshwa baada ya ku-edit usiku saa 4, saa 5?
Mkuu tunaweka maslahi ya chama mbele kwanza maana yaliyotokea kwa majirani zetu uganda na kenya yanajulikana kwa vyama vya KANU na UPC
 
ni kweli. wasahau...
 
Na hasa kwa wapinzani aina ya kina Kubenea wanaokwenda kuchungulia shanga badala ya kujadili matatizo ya waliowatuma
Kwa hiyo unaona fahari kwa kitendo chb polisisiem kuwadhalilisha mama zetu?
 
Khee Mapombe kaanza kulewa madaraka mapema mno! Namuhurumia sana coz nch c ya ccm hii
 
Kwene siasa za kichama lazma maneno kama hayo yatumike. Mfano kwene vyama vya upinzani maneno kama mwaka huu lazma tuingie ikulu vinginevyo patachimbika yanatumika. Lakn watu hawafanyi direct meaning km mtoa mada hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…