Magufuli: Wapinzani wanawaza Ipo Siku Watatawala, Wasahau

Magufuli: Wapinzani wanawaza Ipo Siku Watatawala, Wasahau

Mpaka pale mbadala wa CCM atakapopatikana na kwa hali jinsi ilivyo simuoni siku za usoni!
Naanza kuamini chi inaongozwa nan vichaa na wajinga. Mtu mwenye akili timamu hawezi kutamka maneno kama hayo hadharani. Lakini waru lama Hitler, idi amin na john komba walikuwa na imani kama ya jpm
 
hata mimi nasema ccm hawawezi kutoka madarakani kwa karatasi. kilichobaki tupigane tu. kinambowe hawalijui hilo.
 
Eti na chama kesha sahau wapiga kura
Hahahaha huyu kajisahau alitaka atobe siri kuwa aligalagazwa sema bila chama kupiga tiktak asingeweza kuwa raisi na si umemmisikia kikwete anasema vijana wa mtandaoni, sasa jiulize kila kijana wa mtandaoni ambaye ni ccm watawezaje kuwapongeza au kuwafikiria? Hapa wamezungumzia kundi maalum lililokua na kazi maalumu na huenda hilo kundi lilishaanza kulalamika kwa kutupwa
 
Wakati mwingine muwe mnasikikiza hotuba vizuri kabla ya kupost, na mnakurupuka tu kana kwamba mnatoka chooni.
 
Bhangi na mirungi vitahalishwa rasmi muda si mrefu kwa mujibu wa mbunge wa ccm 'Msukuma'
mbona hata Dr Slaa alishauri viroba vya pombe viruhusiwe!. lilikuwa tamko kwa niaba ya chadema yetu.
 
Katoa statement hii akiwa Singida - Sherehe za CCM. Hii JPM amepitiwa? au ndivyo inavyokusudiwa kuwa!
 
Ni kweli hairuhusiwi maana wataivuruga tu nchi. Mfano hai ni majimbo na halmashauri walizoziongoza kwa muda sasa.je kuna maendeleo yoyote?

Halla Magufuli
 
Habari ndiyo hiyo, CCM imejipanga bwana uongo mbaya. Uzuri Magufuli hapendi kudanganya Umma , lakini ingelikuwa babu Kikwete angelisema ni ruhusa wapinzani kutawala japo hata yeye( JMK) hangelimaanisha hivyo.!!!
 
Hivi huyo jamaa ana nafasi gani huko CCM hadi kufikia kutoa kauli hiyo...
 
Nitaendelea kuipinga ccm kila kona sitaogopa kufa kwasababu sioni uhai wa nchi chini ya Maccm naichukia ccm kuliko kitu chochote duniani
we ni kwa sababu umeshazoea ufisadi na mafisadi. huwezi kwenda na speed ya Magufuli. wapinzani tulikuwa na ajenda ya ufisadi lakini tuliua wenyewe na wananchi wakatupa adhabu. akili mukichwa. watu wamepiga dili la kukaribisha mafisadi wakapata chao wakajikausha. aibuuuuu... naona na wewe ni mmojawao
 
Rais wangu hii si kauli njema hasa kwa umma na wasomi!
Aidha futa kabisa multipartism!!
...kama siyo kumpata mtu wa aina yako mwenye utu kama wewe? nchi hii ingeangukia wapi?/
....Tambua zipo tawala zisizofaa kabisa kutawala nchi.....
mf.
hivi angefanikiwa membe Inchi ingalikuwaje?/
sisi tunapanga na mungu naye anapanga!!
 
Demokrasia ya kuachia vyama vya upinzani waachieni wamarekani, Hapa afrika wapinzani wafaa kupewa ubunge na udiwani tu.!
 
Hivi huyo jamaa ana nafasi gani huko CCM hadi kufikia kutoa kauli hiyo...
nenda kamuulize. si rais wa nchi lakini au umesahau.
swali hilo labda umuulize Lowasa ana cheo gani kwa sasa ndani ya chadema au ukawa? ?
mwenzenu babu Duni baada tu ya uchaguzi akajua basi biashara kwisha. akasepa zake.
 
kama yye urais alivyo kutanana nao njiani ndivyo wapinzani siku moja watachukua nchi
 
Back
Top Bottom