Franco Zetta
JF-Expert Member
- Nov 3, 2014
- 1,661
- 843
Kesha enea kwenye kiti sasa unge tegemea nini?Miezi mitatu tu kishalewa, akifikisha mwaka sijui itakuwaje
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kesha enea kwenye kiti sasa unge tegemea nini?Miezi mitatu tu kishalewa, akifikisha mwaka sijui itakuwaje
Freudian slip?
Ila Magufuli achunge kauli zake aisee.
Halafu bwana mkubwa huyu si ndiye aliye ahidi kuwa kiongozi mwenye kuwajali Watanzania wote bila kujali itikadi zao sijui amesahau? kuli kuwa na hadithi ya Paka aliye jifanya mtawa hali panya na akitembea mitaani na misahafu kwapani na Tasbihi ya dagaa mkononi kiasi cha kuaminiwa na panya awasomeshee watoto wao yaliyo tokea ni kama naya fananisha fananisha hivi.Upinzani Upo na utaendelea kuwepo acheni kujidanganya
siamini kama rais wa nchi anaweza kutoa kauli kama hiyo...labda mwenyekiti wa chama lkn si kwa raisinenda kamuulize. si rais wa nchi lakini au umesahau.
swali hilo labda umuulize Lowasa ana cheo gani kwa sasa ndani ya chadema au ukawa? ?
mwenzenu babu Duni baada tu ya uchaguzi akajua basi biashara kwisha. akasepa zake.
Rais magufuli akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM amesema "Kama kuna chama kina ndoto ya kutawala nchi hii wafute ndoto hiyo''.
Maana hakuna mtawala anayependa kutawaliwa,ameenda mbali na kusema. Hawa wenzetu wapinzani wanawaza ipo siku watatawala nchi hii wasahau hilo.
Dah nimejiuliza ina maana hata hao wapinzani wakishinda kwenye box waendelee kusahau? Nimeanza kupata picha ya kule visiwani,Pole sana Maalim.
Kuitamka demokrasia ni jambo moja,Kuitekeleza ni jambo jingine-Kagame
Maneno mengi wewe ukitajiwa tume huru ya uchaguzi unakimbia kama swala anakimbizwa na chui .ukitajiwa katiba mpya yawarioba unaharisha bila kula papaiHata kama ni 500 ni sawa tu kwa maana CCM ni Chama cha kidemokrasia ambacho Viongozi wake wanapatikana kwa njia ya Kidemokraisa na ya wazi, na ni cha Watz na kina Sura ya Watz hivyo basi ni Watz ndiyo wanatawala!
Rais magufuli akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM amesema "Kama kuna chama kina ndoto ya kutawala nchi hii wafute ndoto hiyo''.
Maana hakuna mtawala anayependa kutawaliwa,ameenda mbali na kusema. Hawa wenzetu wapinzani wanawaza ipo siku watatawala nchi hii wasahau hilo.
Dah nimejiuliza ina maana hata hao wapinzani wakishinda kwenye box waendelee kusahau? Nimeanza kupata picha ya kule visiwani,Pole sana Maalim.
Kuitamka demokrasia ni jambo moja,Kuitekeleza ni jambo jingine-Kagame
Au wale wakina msukuma wazee wa "gomba"Na hasa kwa wapinzani aina ya kina Kubenea wanaokwenda kuchungulia shanga badala ya kujadili matatizo ya waliowatuma
Rais magufuli akihutubia kwenye maadhimisho ya miaka 39 ya CCM amesema "Kama kuna chama kina ndoto ya kutawala nchi hii wafute ndoto hiyo''.
Maana hakuna mtawala anayependa kutawaliwa,ameenda mbali na kusema. Hawa wenzetu wapinzani wanawaza ipo siku watatawala nchi hii wasahau hilo.
Dah nimejiuliza ina maana hata hao wapinzani wakishinda kwenye box waendelee kusahau? Nimeanza kupata picha ya kule visiwani,Pole sana Maalim.
Kuitamka demokrasia ni jambo moja,Kuitekeleza ni jambo jingine-Kagame
Hii mijamaa ina kazi sana mkuu...inaandika lile gazeti lao la machweo...nyie ndio wachonganishi....hajaishia apo amesema kwa kua ccm wanafanya yale ambao wananchi wanayahitaj so wapinzan hawatakua na nafasi yakuchaguliwa...wewe naona unaandika ujinga ujinga tu
Hoja hii ipo mpaka kwa mataifa yaliyoendelea, lakini ya shanga as waheshimiwa ni spesho kwa UKAWAAu wale wakina msukuma wazee wa "gomba"
Nje ya ccm hakuna ufisadi.unadhani wakiichukia ccm wanahamia wapi sasa. kwa mafisadi au
Tunapozungumzia upinzani hatuizungumzii chadema pekee wewe kenge!!!..Kwa sera zipi walizonazo hadi washinde? Kama tu suala la ufisadi ambalo ndilo liliwaimarisha wameshindwa kulisimamia sasa watashinda kwa sera ipi.