Maboso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 5,164
- 5,762
Kwani kuna mahali nimetaja Chadema au ufisadi ilikuwa ajenda ya Chadema peke yake?Tunapozungumzia upinzani hatuizungumzii chadema pekee wewe kenge!!!..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwani kuna mahali nimetaja Chadema au ufisadi ilikuwa ajenda ya Chadema peke yake?Tunapozungumzia upinzani hatuizungumzii chadema pekee wewe kenge!!!..
Huwezi Kujiita kua wewe ni mpole sio dictator huku unawaambia wapinzani wasahau kiutawala nchi! Stueleze wasahau vipi? Kuna mwenye hatimiliki ya nchi hii?Jamani katika hali ya kawaida ni rahisi zaidi kumtoa Rais madarakani anayemaliza muda wake kikatiba kwa kutumia kura,kuliko Rais aliye tumikia kipindi cha muhula mmoja tu.
Japo upo uwezekano pia wa kumtoa ndani ya mhula mmoja endapo wananchi wataamua iwe hivyo kupitia box la kura.
Sasa najiuliza,kwa kauli ya Rais Magufuli kuwa,Wapinzani wasahau kuitawala nchi hii.Je,Ipi nafasi ya vyama hivi 2020?
Vitaingia kwenye uchaguzi kushindana ili vishinde au kutimiza wajibu?Maana kama ni kusinda washaambiwa wasahau.
Kumbuka na wakati huo ndio utakuwa muhula wa kwanza wa miaka 5 kwa JP umemalizika.Akiwa na muhula mwingine mmoja mkononi,Hivi ikitokea watanzania wakasema kwenye ballot box mzee kapumzike tuangalie na hii timu nyingine,Atakuwa tayari?Ataheshimu maamuzi ya wananchi?
Bado natafakari ile kauli ya wapinzani wasahau,Hivi ilikuwa ya ki siasa au Rais alimanisha?
Halafu hivi "vyama vya hovyohovyo" ni vyama vya aina gani? Mbona hii kauli kama inakosa chembe ya uungwana na ubinadamu?Huwezi Kujiita kua wewe ni mpole sio dictator huku unawaambia wapinzani wasahau kiutawala nchi! Stueleze wasahau vipi? Kuna mwenye hatimiliki ya nchi hii?