Magufuli: Wapinzani wanawaza Ipo Siku Watatawala, Wasahau

Kwani alihutubia kama nani? I hope alihutubia kama mwanachama! Ila kama alihutubia kama raisi basi akajitazame upya kwenye kioo!
Alihutubia kama mwanachama nadhani na sio rais
 
Na hasa kwa wapinzani aina ya kina Kubenea wanaokwenda kuchungulia shanga badala ya kujadili matatizo ya waliowatuma
Kwa hiyo unaona fahari kwa kitendo cha polisisiem kuwadhalilisha mama zetu?
 
hii nchi bila ya hatua ya kiume..
tutaendelea kunyanyapaliwa..
 
Magufuli ni kiongozi anayeropoka tu! Hachagui aongee lipi wapi! Yeye amezoea kubwata bwata na anasimamia hilo!!
 
Kila kilichozaliwa hufa CCM ilizaliwa hatimaye itakufa.............wapi KANU....................
 
Kama kila rais atakuwa kama Magufuli
Kweli upinzani hii nchi wataisikilizia tu radioni.
Huo ndio ukweli...rais Magufuri anamaanisha kuwa atatekeleza vizuri ilani yakevna vyama vya upinzani umaarufu wake utaporomoka kwa kasi...
 
Ccm Haiwez kutawala milele..kila chenye mwanzo kina mwisho wake
 
Hata yule mwaarabu alisema hivyo matokeo yake aling'olewa tu
CCM itatoka tu
 
Katiba ya Warioba ikianza kutumika chama chakavu out
 
Sasa si mfute tu vyama vingi mbaki wenyewe?
Kule zanzibar mmeachiwa nchi na cuf na bado mnalia lia badala ya kufurahia ushindi wa mezani.
vitajifuta vyenyewe kama azma yao pekee ni kwenda ikulu.
 
Mkuu umeua maana umemaliza kila kitu
 
Miezi mitatu tu kishalewa, akifikisha mwaka sijui itakuwaje
Huwajui wasukuma wewe! Subiri utaona, kuna siku mdadi utampanda jukwaani ataanza kucheza Ngoma akipata wa kuitikia tuu.
Hayo maneno mengine mumsanehe bure! Kaponzwa na kutaka kumuiga mkwere kwenye vijembe vya ushwahilini wakati hata kiswahili chenyewe hakijui vema. Ndio maana yeye kaona msemo kutumbua jipu kama msamiati wa ajabu kumbe wenzake wanamchora tuu. Kazi ya kutumbua jipu la MTU sio kazi ya kujisifu hadharani kwani waweza kuta mwanamume nwenzio ana jipu katikati ya elfu moja mia mbili na lazima ushike hizo elfu moja na mia mbili kwa unyenyekevu kama mkewe. Sifa iko wapi hapo? Asiende kuiga IGA misemo ya pwani
 
hii inaonyesha ni jinsi gani hujakomaa kisiasa,...
mwenyekiti wa chama lazma awe kiongoz wa upinzani bungeni
Sio kweli mkuu Hamad Rashid alivyokuwa kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni alikuwa mwenyekiti wa chama gani?
 
Kama sijamuelewa anasema uraisi kapewa na nani? Chama au?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…