Magufuli will allow Kenyans into Tanzania if I become president- Raila

a total daylight dream,he is just a vote hunter in his country,we tanzanian citizens are the ones with righs to say yes or no with such decicions like that and not Jpm with his personal family friend
that is one of the serious matters with Tanzanians on the so called eac.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
i think he meant for bussines .so don't panic brothers
 
Kumbe yule dada wa mamtoni alisema kweli. Kuwa huyu magu anaingilia huu uchaguzi sababu ya ushosti na huyu mjaluo!! Na ndio anaharibu zaidi. Ndio maana anawalilia Acacia kila siku zababu kenyata nae ana shilingi hapo na kuzuia wakenya wasilete vitu huku ili wakenya wamchukie kenyata....wakiparurana huko.msijekukataa kuwa na nyie mnahusika tu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Na mwaka huu mmeshikwa!!! Mtaua wote lakini bado hamtashinda!! Najaribu tu kuwaza kwa sauti!!!!!!
 
U nafikiri Acacia kampuni ya maziwa? How idiot r u?
U started creating a rigging environment by making ICT expert disappear now one remains by the name Kioni, guess what a Mumbi from central.

Sent using Jamii Forums mobile app


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hii title imekaaje? Kwani sasa hivi wamezuiwa?
Au ata loosen hizo resriction za biashara? Na Magufuli kuondoa vikwazo anaangalia rais ni nani au ni jinsi nchi zote 2 zitafsidika?
Huyu jamaa ahadi zake sujui vipi
 
Kwa hiyo rais wa Tz hana mahusiano mazuri na uongozi wa sasa Kenya? Mahusiano yetu na nchi za nje yanajengwa katika mazingira ya kuhitajiana/ kushirikiana au uswahiba wa viongozi wa nchi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kenyan election shouldn't have been associated with our president. If I were Kenyatta I would also mention the same in my own favour in response to the statement.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nani asiyejua kuwa mpo desperate kuingia Tanzania? Ushawahi kusikia Mtanzania akilalamika kuhusu uhamiaji kuja kwenu? Kila siku nyie ndio macrybabies wa Jumuiya.

Ingekua vizuri upate takwimu za baina ya Watanzania wanaoingia Kenya dhidi ya Wakenya wanaokuja huko. Watanzania wamejaa Kenya kwanza ukienda eneo la Gikomba utadhani upo Dar. Pia barabara zetu zimejaa omba omba kutoka Tanzania.

Hapa namshangaa sana Raila anapataka kuonyesha kwamba tupo desperate kwenda kwa nchi maskini wa kutupwa, bora hata angesema nchi zilizo mbele yetu kiuchumi.

Hapo Tanzania labda wataalam wa Kikenya ndio wanakuja kupiga hela na kugeuza.
 
Huyu Raila anataka kutufanya kuonekana kama tupo desperate sana kuingia Tanzania. Aongee kuhusu sera za kubuni ajira ili wataalam wetu wabaki ndani.

Mkuu huyo jamaa yenu mkataeni asee. Naanza kuhisi hizi sarakasi zote za kupigana bans ya bidhaa na kutokuwauzia nafaka ulikuwa ni mpango wa kutibua mambo mambo ili jamaa ajifanye atarekebisha. Typical politicians who creates problems afu aje asolve that problem for his political gain.
 
Aache kumtumia rais wetu kupata kura, apogane kivyake!!
 
Yaani urafiki binafsi wa watu wawili ndio ubadili sera na mipango ya nchi!!!
 
Hayo maoni odinga kayapata kutoka kwa wakenya wenzio!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…