Magufuli will lose the coming election

Wakenya baada ya kuona moto wa magufuli sasa wanatamani magufuli asiwe raisi tz maana Kenya inadondoka kwa sababu ya nguvu ya magufuli Leo magufuli kafunika maraisi wote wa afrika hadi baadhi wa ulaya ,WB wenyewe wameona watutoe kwenye uchumi wa chini hadi kutuweka wa kati gafla bi vuu,wakati magu kaingia ikulu na kuanza kazi kwa nguvu wakenya wakasema hapa JF kuwa hiyo ni nguvu ya soda tu maraisi wote wapya huanza hivyo tusubiri miaka miwili hadi mitatu tutaona kachoka kawa kama maraisi wengine wa hovyo ,sisi tuliwambia wasahau kwa magufuli ,, ukisikia kichaa kapewa rungu ndiyo magufuli hapa kazi tu.
 
Binafsi acha nibaki na kasoro kuliko kumsifu mtu wa hovyo.
 
Umebet na kampuni gani huu mkeka? Meridian, m bet, power bet au sportpesa?
 
Wewe ni kunyaland mambo yetu tuachieni wenyewe
 
mi Mnyamwezi,,,, natokea Tabora.
karibu sana Tabora ndugu
Nyinyi ndio wakenya mnajipachika uraia wa Tanzania , na mko wengi hapa tuna jukwaa letu la siasa kwani kama mtanzania ulete siasa za Tanzania kwenye jukwaa la wakenya sasa kosea step ukapige kura utatutambua vizuri maana ya watanzania waachie watanzania
 
Kenya Upinzani ulishajifia tangu Handcheque

Sent using Jamii Forums mobile app
 


Waache hao bado wapo karne ya 16 AD....wakisha zinduka wengine tutakua developed kabisa.

Tazama hata siasa za nchi yao,hawana institutions, wee chezea wakomunisti..heheheh. Wapo kama Uchina na Urusi. kichekesho cha ukanda huu wote.

1. kutenguana
2. Kuwamiminia viongozi wakuu risasi
3. Jitu Mungu
4. Kusifiasifia
5. Fungiafungia-makampuni
6. Kamata kamata
7. Katiba sufuri
8. Diplomasia sufuri
9. Maamuzi ya hovyo na ya ajabu ajabu,kichekesho,kituko.
10. Uongo tena wa mchana-tume,tuta,tuli n.k
11. Takwimu za uongo
12. Wawekezaji kutimuliwa
13. N.K
 

Hiyo siasa ya yenu ya naibu rais kumkosoa hadharani rais wake ndio unaita siasa, poor moron.

Rais kaiba pesa za msaada, makamu hajui kitu inaendelea, anapanick mbele ya media, anampa makavu live rais wake.

Hiyo sio uhuru au mfano wa uongozi, ni disorganization. Unawezasema naibu ni mzalendo kumbe anatumia mwanya huo kuropoka sababu amenyimwa mgao. pathetic!
 
Kwetu hapa hatutegemei upinzani au serikali ila ugatuzi, maana kwamba rais hachagui wapi apeleke maendeleo.
Mbona Jimbo la wasomali waki kenya kukame,ata huduma za kijamii za kuzoom.
 
Kwetu hapa hatutegemei upinzani au serikali ila ugatuzi, maana kwamba rais hachagui wapi apeleke maendeleo.
Kwamba Kenya ndio nchi yakwanza yakidemokrasia isiyo na upinzani ila inaugatuzi hili ni balaa.
Basi ndio maana watu wanagatua hela Za COVID.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
 
Kwamba Kenya ndio nchi yakwanza yakidemokrasia isiyo na upinzani ila inaugatuzi hili ni balaa.
Basi ndio maana watu wanagatua hela Za COVID.

Sent from my Infinix X603 using JamiiForums mobile app
Hivi huko kwenu nini maana ya uchaguzi, au huwa mnafanya kama chenga la macho kwa mabeberu ili waendelee kutuma misaada.
Hii video hadi nimecheka.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…