Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Wakenya baada ya kuona moto wa magufuli sasa wanatamani magufuli asiwe raisi tz maana Kenya inadondoka kwa sababu ya nguvu ya magufuli Leo magufuli kafunika maraisi wote wa afrika hadi baadhi wa ulaya ,WB wenyewe wameona watutoe kwenye uchumi wa chini hadi kutuweka wa kati gafla bi vuu,wakati magu kaingia ikulu na kuanza kazi kwa nguvu wakenya wakasema hapa JF kuwa hiyo ni nguvu ya soda tu maraisi wote wapya huanza hivyo tusubiri miaka miwili hadi mitatu tutaona kachoka kawa kama maraisi wengine wa hovyo ,sisi tuliwambia wasahau kwa magufuli ,, ukisikia kichaa kapewa rungu ndiyo magufuli hapa kazi tu.