Magufuli will lose the coming election

Magufuli will lose the coming election

Kwa sasa hivi upinzani labda wasubiri sana, walishabamizwa huwa hawaruhusiwi hata kukusanyika watano, ila CCM wamekua wakipiga kampeni kila siku kote kote na wamefaulu kuwafanya Watz wote waimbe mapambio ya kusifu, ukweli upinzani unakwenda kufutwa Tz kwenye huu uchaguzi.

Mwaka 2015 upinzani ulichezea shillingi chooni! Wakati huo CCM ilikuwa practically hamna ndo maana Rais Magufuli alikuwa anasema wakati wa kampeni “mchague Magufuli”, mwaka huu(2020) kila kona ni CCM!!! Waliokusesha upinzani ushindi walikuwa Kabwe na Lipumba! Period. 28/10/2020 NCCR itavuna wambunge ‘ZERO’ similarly CUF will come out with plain Zero MPs, TLP ZERO, UDP, NRA etc big zero
 
Back
Top Bottom