Magufulification of Kenya: Uhuru atangaza siku 3 za maombi nchi nzima kwa ajili ya Corona

joto la jiwe

JF-Expert Member
Joined
Sep 4, 2017
Posts
26,117
Reaction score
46,617
His Excellency the President has dedicated the forthcoming weekend, Friday 9th to Sunday 11th October 2020, a national weekend of prayer during which Kenyans are encouraged to pray for the country in their usual places of worship in compliance with Covid-19 containment protocols.

On Saturday, 10th October 2020, the Head of State will convene an inter-faith national prayer service at State House, Nairobi starting at 10am.

The inter-faith prayer service will be broadcast live to the entire country on all leading television, radio and digital media platforms.

Kanze Dena Mararo
Spokesperson

Source: The Presidency

Capture.PNG

=======

Wakenya watoa maoni tofauti baada ya Uhuru kutangaza siku 3 za maombi kwa taifa

MY TAKE: Kwanini asiige katika kupambana na rushwa, kitu gani kinamshinda?
 
Hii ni kawaida ya GOK, hata wakati Corona ilipatikana mara ya kwanza GOK ilifanya kitu kama hii mwezi March 2020.

Alafu ujue kila baada ya miezi kadhaa GOK huleta dini zote pamoja kwa "National prayer breakfast" kuunganisha waumini wa dini zote nchini Kenya.

Hii ni mtindo ya GOK kwa miaka 11 sasa, kama nyinyi mlianza na magufuli siyo hoja, ila kufikiria Uhuru anaiga magufuli ni ujinga ya mwisho.

Wakenya wengi huchukua hii national prayer day kwa hisia tofauti. Wengine hufurahia na wengine kama mimi, huona hii ni mchezo ya kitoto. serikali na dini zinafaa kuwa tofauti kabisa na kuleta dini ndani ya serikali ni mchezo mbaya.

Uhuru calls for National Day of Prayer amid virus outbreak

Kwa hivyo kabla ueke kitu, nimekuambia mara nyingi soma kwanza. Usiwe mtu unatangaza ujinga kwa dunia ili watu wajue wewe ni mtanzania.
 
Huwa nakuambia ujinga hukusumbua.

Hii ni kawaida ya GOK, hata wakati Corona ilipatikana mara ya kwanza GOK ilifanya kitu kama hii mwezi march 2020.

Magufulificatio of Kenya, copy & paste [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ninyi mlikuwa mnamcheka Magufuli kwamba anapambana na covid-19 km Kinjeketile ngwale na mkawa mnasema ugonjwa huu utapigwa kwa kufuata njia za kisayansi pekee, kuhusu kuwa na cku ya kuomba km taifa hilo ni la kawaida lkn Magufuli aliweka cku ya kuombea taifa kwa ajili ya covid-19 na ndipo mkawa mnamcheka.

Kwahyo Uhuru kuweka cku ya maombi kuliombea taifa ni wazi ameona kuna uhusiano fulani kushinda vita vya magonjwa kwa kumshirikisha Mungu baada ya kuona Magu amefanikiwa ktk hilo.

Alafu mbn GoK inaiga strategies nyng tu ambazo GoT inachukua wacha ku act blindness wkt unaona.
 
Na nikuambue tu ni kwamba hyo strategy wala haito work out cz mnajaribu na hamuiamini so kitakachofuata ni vipigo vingine ambavyo huenda vikawa vikali kuzidi covid-19 mana bado hamjajua tatizo lenu ni nn.
 
Ninyi mlikuwa mnamcheka Magufuli kwamba anapambana na covid-19 km Kinjeketile ngwale na mkawa mnasema ugonjwa huu utapigwa kwa kufuata njia za kisayansi pekee, kuhusu kuwa na cku ya kuomba km taifa hilo ni la kawaida lkn Magufuli aliweka cku ya kuombea taifa kwa ajili ya covid-19 na ndipo mkawa mnamcheka.

Kwahyo Uhuru kuweka cku ya maombi kuliombea taifa ni wazi ameona kuna uhusiano fulani kushinda vita vya magonjwa kwa kumshirikisha Mungu baada ya kuona Magu amefanikiwa ktk hilo.

Alafu mbn GoK inaiga strategies nyng tu ambazo GoT inachukua wacha ku act blindness wkt unaona.
Huyo hajawahi kukubali hata siku moja kwamba serikali yao ina mapungufu. Kenya haijawahi kutangaza siku tatu za maombi nchi nzima, tena siku tatu zenyewe ni kuanzia Friday to Monday, tena maombi yenyewe yanahusu ugonjwa(Corona). It is exactly Magufulification of Uhuru Kenyatta.
 
Huyo ni mwendawazimu, hajawahi kukubali hata siku moja kwamba serikali yao ina mapungufu. Kenya haijawahi kutangaza siku tatu za maombi nchi nzima, tena siku tatu zenyewe ni kuanzia Friday to Monday, tena maombi yenyewe yanahusu ugonjwa(Corona). It is exactly Magufulification of Uhuru Kenyatta.
Aki wewe ni hater u just need redemption
 
Attachments

  • Screenshot_20201008-112059_1602146786033.jpg
    Screenshot_20201008-112059_1602146786033.jpg
    14 KB · Views: 1
Huwa nakuambia ujinga hukusumbua.

Hii ni kawaida ya GOK, hata wakati Corona ilipatikana mara ya kwanza GOK ilifanya kitu kama hii mwezi march 2020.

Alafu ujue kila baada ya miezi kadhaa GOK huleta dini zote pamoja kwa "National prayer breakfast" kuunganisha waumini wa dini zote nchini Kenya.

Hii ni mtindo ya GOK kwa miaka 11 sasa, kama nyinyi mlianza na magufuli siyo hoja, ila kufikiria Uhuru anaiga magufuli ni ujinga ya mwisho.

Wakenya wengi huchukua hii national prayer day kwa hisia tofauti. Wengine hufurahia na wengine kama mimi, huona hii ni mchezo ya kitoto. serikali na dini zinafaa kuwa tofauti kabisa na kuleta dini ndani ya serikali ni mchezo mbaya.

Uhuru calls for National Day of Prayer amid virus outbreak

Kwa hivyo kabla ueke kitu, nimekuambia mara nyingi soma kwanza. Usiwe mtu unatangaza ujinga kwa dunia ili watu wajue wewe ni mtanzania.
 
His Excellency the President has dedicated the forthcoming weekend, Friday 9th to Sunday 11th October 2020, a national weekend of prayer during which Kenyans are encouraged to pray for the country in their usual places of worship in compliance with Covid-19 containment protocols.

On Saturday, 10th October 2020, the Head of State will convene an inter-faith national prayer service at State House, Nairobi starting at 10am.

The inter-faith prayer service will be broadcast live to the entire country on all leading television, radio and digital media platforms.

Kanze Dena Mararo
Spokesperson

Source: The Presidency

View attachment 1593498

=======

Wakenya watoa maoni tofauti baada ya Uhuru kutangaza siku 3 za maombi kwa taifa

MY TAKE: Kwanini asiige katika kupambana na rushwa, kitu gani kinamshinda?
Ni hatarii
 
Nabado Mashetani kamwe hayawezi Shinda mbele ya Mwenyezi mungu
maneno, Kejeli, Porojo na Mitusi mwisho wasiku wameufyanta mkia

MUNGU MPE MAISHA MAREFU RAIS WETU JOHN JOSEPH POMBE MAGUFULI
 
His Excellency the President has dedicated the forthcoming weekend, Friday 9th to Sunday 11th October 2020, a national weekend of prayer during which Kenyans are encouraged to pray for the country in their usual places of worship in compliance with Covid-19 containment protocols.

On Saturday, 10th October 2020, the Head of State will convene an inter-faith national prayer service at State House, Nairobi starting at 10am.

The inter-faith prayer service will be broadcast live to the entire country on all leading television, radio and digital media platforms.

Kanze Dena Mararo
Spokesperson

Source: The Presidency

View attachment 1593498

=======

Wakenya watoa maoni tofauti baada ya Uhuru kutangaza siku 3 za maombi kwa taifa

MY TAKE: Kwanini asiige katika kupambana na rushwa, kitu gani kinamshinda?
Kwn ishu ya maombi ya kitaifa tanzania yalianza na magu, kweli wazee yule jamaa kawapapasa..
Mbna hayo ni mambo ya kitambo sana, ndio manake unajiskia hta umuabudu yule mzee wa chato
 
Haijawahi kutokea Tanzania wala Kenya tukawa na siku tatu kuanzia Ijumaa hadi Jumapili kwa ajili ya kuiombea nchi kuepukana na Ugonjwa.

Kenya huwa mlikua mnafanya kwa siku moja tu, tena haijawahi kutokea rais anasema "Categorically" kwamba tuliombee taifa dhidi ya Ugonjwa, ilikua ni aibu kusema hadharani kwamba ugonjwa unaweza kumalizwa kwa maombi, ndio sababu kubwa ya wakenya kumkejeli Magufuli katika kupambana na Corona.

Mlisema hatumii mbinu za kitaalamu badala yake anategemea maombi. Lazima mkubali kwamba Magufuli amewazidi viongozi wenu tena kwa mbali sana.
 
Back
Top Bottom