ighaghe
JF-Expert Member
- Mar 25, 2013
- 2,286
- 3,203
Huwa nakuambia ujinga hukusumbua.
Hii ni kawaida ya GOK, hata wakati Corona ilipatikana mara ya kwanza GOK ilifanya kitu kama hii mwezi march 2020.
Alafu ujue kila baada ya miezi kadhaa GOK huleta dini zote pamoja kwa "National prayer breakfast" kuunganisha waumini wa dini zote nchini Kenya.
Hii ni mtindo ya GOK kwa miaka 11 sasa, kama nyinyi mlianza na magufuli siyo hoja, ila kufikiria Uhuru anaiga magufuli ni ujinga ya mwisho.
Wakenya wengi huchukua hii national prayer day kwa hisia tofauti. Wengine hufurahia na wengine kama mimi, huona hii ni mchezo ya kitoto. serikali na dini zinafaa kuwa tofauti kabisa na kuleta dini ndani ya serikali ni mchezo mbaya.
Uhuru calls for National Day of Prayer amid virus outbreak
Kwa hivyo kabla ueke kitu, nimekuambia mara nyingi soma kwanza. Usiwe mtu unatangaza ujinga kwa dunia ili watu wajue wewe ni mtanzania.
Nenda ukasali, raisi wako anataka uwe unasali sa hii.