joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
-
- #21
Hamjawahi kufanya maombi ya kitaifa "specifically" kuomba ugonjwa upotee, hamjawahi kufanya maombi ya kitaifa kwa siku tatu mfululizo, siku tatu ziwe ni Ijumaa, J1 na J2. Purely is Copy and paste.[emoji23][emoji23][emoji23]Kwahiyo mtu yeyote kutoka nchi yeyote akiamua kusali na raia wake ni "Magufulication"?
Mbuzi meee nyie!
This is not surprising especially from a typical ccm bandwagonHamjawahi kufanya maombi ya kitaifa "specifically" kuomba ugonjwa upotee, hamjawahi kufanya maombi ya kitaifa kwa siku tatu mfululizo, siku tatu ziwe ni Ijumaa, J1 na J2. Purely is Copy and paste.[emoji23][emoji23][emoji23]
Tumefanya mimi na nani?Hamjawahi kufanya maombi ya kitaifa "specifically" kuomba ugonjwa upotee, hamjawahi kufanya maombi ya kitaifa kwa siku tatu mfululizo, siku tatu ziwe ni Ijumaa, J1 na J2. Purely is Copy and paste.[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapa hatujuani na hata majina hayaonyeshi uraia wa mtu, kitu pekee kinachoweza kuonyesha urai wa nchi anayotoka ni jinsi anavyoitetea na kuilinda hiyo nchi husika, japo sio wote, lakini inakua hivyo kwa watu wengi.Tumefanya mimi na nani?
Naona unanipa uraia wa Kenya tena?
Halafu umezoea sana tabia mbovu hii ya kunipa uraia wa nchi unazojua wewe kwa macho yako ambazo sio sahihi..
Mimi ni Mtanzania wa kuzaliwa,na mababu zangu walifika miaka zaidi ya 1,000 iliyopita eneo la Marangu kilometa chache kutoka hifadhi ya mlima Kilimanjaro...
Sasa unanipa huo uraia kwa maana wewe ni Mtanzania sana na tumekupa madaraka ya kunyang'anya na kubatiza watu raia online?
Specifically ugonjwa upotee,kwahiyo wewe unasema "ukisali" ugonjwa "unapotea" sababu Magufuli alisali namna hiyo?
Kwamba kuna nguvu fulani specific zinatoka huko zinapotoka kufuta ugonjwa fulani sababu umesali kwa siku 3?
Unaamini huo upumbavu?
Na wewe ni msomi tuliekusomesha kwa mamilioni ya fedha za kodi upo hapa unaiambia jamii eti "ikisali" kwa siku 3 ugonjwa fulani unafutika?Kusingekua na haja ya mahospitali to begin with!
Copy and an paste maana Magufuli yeye ndio mwanadamu wa kwanza hapa duniani kuombea ugonjwa fulani kwa siku tatu?
Tuna majitu ya ajabu sana nchi hii..halafu kesho tunayapa madaraka haya mapunguani
Ukimtetea Magufuli wewe ndio raia wa Tanzania according to wewe?Hapa hatujuani na hata majina hayaonyeshi uraia wa mtu, kitu pekee kinachoweza kuonyesha urai wa nchi anayotoka ni jinsi anavyoitetea na kuilinda hiyo nchi husika, japo sio wote, lakini inakua hivyo kwa watu wengi.
Kusalia ugonjwa kwa siku 3 "muanzilishi" dunia hii ni Magufuli,wanadamu wengine wote wanakopi?Kuhusu kuomba, hatujasema kwamba ugonjwa ulipotea kwa maombi, ila tunasema, muanzilishi wa hili zoezi ambalo limeanza kuenea hapa EA la kufanya maombi ya kitaifa kwa ajili ya ugonjwa kwa siku 3 ni Magufuli.
Mkuu kusali hakusaidii chochote ni psychological waste of time....Kama kuna watu wapumbavu ni hao viongozi walioanza kuiga vitu ambavyo mwanzoni walivipinga na kuvidharau lakini baadae wanaviiga kimyakimya.
Mimi nimesema kuitetea nchi, sikusema Magufuli, lakini ni ukweli kwamba rais ndiye kiongozi wa nchi, inakua vigumu sana kumtenganisha rais na nchi, mara nyingi utajikuta sio rahisi kuitetea nchi na wakati huo huo usimtetee rais, hivi vitu mara nyingi vinaenda pamoja.Ukimtetea Magufuli wewe ndio raia wa Tanzania according to wewe?
Yaani ukimpinga Magufuli na sera zake na his incompetences basi wewe bwana Joto la Jiwe huyo mtu tayari anahukumiwa sio RAIA?
Kutetea NCHI kwa definition yako ni kumtetea Magufuli and NOT otherway else?
Una shida mno!
Kusalia ugonjwa kwa siku 3 "muanzilishi" dunia hii ni Magufuli,wanadamu wengine wote wanakopi?
Hivi mkuu wewe mzima kweli?
Mkuu kusali hakusaidii chochote ni psychological waste of time....
Kwavile sisi wanadamu ni wapumbavu kupita maelezo tunaamini ni kimbilio na huleta matumaini ya uongo....
Kusali ni kuleta matumaini ya uongo na ugonjwa kupona ni umepona kwa tiba au immunity ya viumbe husika na sio kuna nguvu inatoka mawinguni kuja kuua viruses!
Wanasiasa ni deceiving creatures,watafanya chochote hata kula mavi kuwaletea wananchi wao matumaini ya uongo on something na kusali ni upumbavu huo huo
Magufuli ni mmoja wao,hakufanya lolote la kimkakati kutoa real prevention akakimbilia "kusali" which is nonsense technically ila ki-psychologically inaleta false hope to stupid citizens
Wengine walifanya real strategies na then wameamua kufanya false hope kujaza kiu ya wananchi wapumbavu...
Sasa tupo hapa mimi na wewe,kushabikia upumbavu and we both know hakuna uponyaji wa namna hiyo,never!
Ni aidha tiba halisi au immunity ya hivi viumbe ni kubwa enough ku handle viruses,and thats what happened!
Full stop!
Bc itakua vyombo vya habari vya Kenya mwizi huo march viliminywa kweli maana hamna hata chombo kimoja kilichoandika habari ya kufanya maombi ninyi mulikua munajinasibu tu kua munapambana kisayansiHuwa nakuambia ujinga hukusumbua.
Hii ni kawaida ya GOK, hata wakati Corona ilipatikana mara ya kwanza GOK ilifanya kitu kama hii mwezi march 2020.
Alafu ujue kila baada ya miezi kadhaa GOK huleta dini zote pamoja kwa "National prayer breakfast" kuunganisha waumini wa dini zote nchini Kenya.
Hii ni mtindo ya GOK kwa miaka 11 sasa, kama nyinyi mlianza na magufuli siyo hoja, ila kufikiria Uhuru anaiga magufuli ni ujinga ya mwisho.
Wakenya wengi huchukua hii national prayer day kwa hisia tofauti. Wengine hufurahia na wengine kama mimi, huona hii ni mchezo ya kitoto. serikali na dini zinafaa kuwa tofauti kabisa na kuleta dini ndani ya serikali ni mchezo mbaya.
Uhuru calls for National Day of Prayer amid virus outbreak
Kwa hivyo kabla ueke kitu, nimekuambia mara nyingi soma kwanza. Usiwe mtu unatangaza ujinga kwa dunia ili watu wajue wewe ni mtanzania.
Nchi wamemkabidhi mlevi mmoja hv wasubirie tu maamuzi ya kishtukiza kwani sio akili yake ni akili ya pombe, na ndio maana mtu akilewa haruhusiwi kufanya ibada.Huyo ni mwendawazimu, hajawahi kukubali hata siku moja kwamba serikali yao ina mapungufu. Kenya haijawahi kutangaza siku tatu za maombi nchi nzima, tena siku tatu zenyewe ni kuanzia Friday to Monday, tena maombi yenyewe yanahusu ugonjwa(Corona). It is exactly Magufulification of Uhuru Kenyatta.
Maombi ni maombi hata km ni ya dakika ishirini.Haijawahi kutokea Tanzania wala Kenya tukawa na siku tatu kuanzia Ijumaa hadi Jumapili kwa ajili ya kuiombea nchi kuepukana na Ugonjwa.
Kenya huwa mlikua mnafanya kwa siku moja tu, tena haijawahi kutokea rais anasema "Categorically" kwamba tuliombee taifa dhidi ya Ugonjwa, ilikua ni aibu kusema hadharani kwamba ugonjwa unaweza kumalizwa kwa maombi, ndio sababu kubwa ya wakenya kumkejeli Magufuli katika kupambana na Corona.
Mlisema hatumii mbinu za kitaalamu badala yake anategemea maombi. Lazima mkubali kwamba Magufuli amewazidi viongozi wenu tena kwa mbali sana.
You are supposed to respond wiselyThis is not surprising especially from a typical ccm bandwagon