Lucas philipo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2017
- 2,039
- 2,676
Unaweza ukadhni kwmba wewe ni mwerevu mno ila hekima ikakuambia katu wewe ni mtu usiye mwerevu hata kidogo hasa uwapo kwenye umati wa uwadhaniao ni wajinga nawewe kujiona u mwerevu!!!I can imagine how the conversation went....
Makufuri: haro,......ze ze ze ze ze jamani unaweza kunisikia??
Secretary to the Egyptian president: Halo you have reached the office of the Egyptian president. how can I help you?
Makufuri: ze ze ze ze plesidenti is there?? tell him Magufuri is ze ze ze ze wanti talk him!
Secretary to the Egyptian president: Sir please I do not understand what you mean.
Makufuri: sista, naomba kuzungumza naye!
Secretary to the Egyptian president: Ooh the president will talk to you now.
President Al Sisi: Halo my old friend, it's good to hear from you.
Makufuri: ze ze ze ze zenk you very much, samahani voucher itaisha@#$! I was wanting(rest in peace English) misri help me dam striegler george for biggest in easti africa.
President al sisi: I see, begging bowl always at hand! don't worry Egypt is big brother. Will construct the dam in 2095. Arab contractors will do it don't worry.....ti ti ti ti ti ti(voucher kwisha) Makufuri sends 'please call me' - still waiting for al sisi to call back.
Ktk maisha ya wanadam tunazaliwa maeneo tofauti tofauti na pia kila binadam ana vinasaba vyake !! Kutokana na hilo watu wa pori wakashauri basi asiwepo mtu wa kumbeza mwenzye ati kisa kazaliwa kijijini mjini!!
Wewe waweza Kuwa mola kakujalia hiki ila mwenzyo kanyimwa hvyo usimbeze ndugu kwani nayeye huenda atapata siku moja kwani ni suala la muda tu!!
Wewe pia unaweza ukawa unaukwasi wa pesa ila mwenzyo akawa na ukata wa pesa kamwe usimbeze kwani huyo nae siku moja atakuwa kama ww.... Usione maganda ya muwa uyatupayo kwake ni kivuno nooooo usishangae kwani hvyo ndivyo maisha yalivyo,,,,
Wewe umezaliwa familia nzuri yenye viyoyozi ndani,, uwanja mzr wa kupigia Story,,, bustani nzuri,,, magari mazuri ila ndg kumbuka teeena fikiria kuna mwenzyo kakulia kwenye nyumba ya nyasi,,, ndani imejaaa paa zake za miti,,,, sakafu kwake ni ndoto ila kumejaaa matope,,, maji kwake ni kushea na wnyama kama mbuzi na ngombe wakat ww hvyo huvijui naomba uelewe kwwmba wote ni binadam tusikutane siku moja ukanikataa eti looooh mie mnyama hapana ndg!!!
Hvyo ktk maisha usishangae haya yapo kwqni ulichonacho ww mimi sina ila kutokuw nacho kusikufanye unikane et mie siyo bnadam mwenzako..... No hvyo kama ww umejaaaliwa hicho shukuru mungu Kwan mwenzyo hata kuona madarasa pengne yawezekana alitoroka kwnda shule ww shukuru mungu uko hapo,,,,,,
Ila tukumbushane kwamba hakuna watu wajinga duniani kama wazaniao kujua lugha ya kiingereza ndio usomi noooooooo huko ni kukosa hekima na upembuzi wa mambo hayo kwenye utajo hapo juu!!!!