Papi Chulo
JF-Expert Member
- Jun 8, 2018
- 6,260
- 7,395
Mnaogopa kuelemewa wakati hili ni janga ni dunia nzima!!Hivi Akili zenu zina shida au ni elimu duni?
Wafikiri hii virusi inajua mipaka
Taifa jirani lazma zishirikiane au tutalemewa sisi wote East africa