Hebu chukulia kwa mfano hawa marais wamekaa kikao wanajadili mikakati dhidi ya Corona, hivi rais wenu kwa kauli zake zote ikiwemo kulaumu watendaji wake wanaonynuiza dawa akisema wanaeneza Corona, na kwamba barakoa zinazokuja zina Corona, kwamba Corona itakufa ikiingia kanisani na mambo mengine mengi, huku wenzake wote wakiwa kisayansi zaidi, hapo unahisi kuna chochote wataafikiana?