Mapensho star
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 3,052
- 4,104
[emoji1] [emoji1] [emoji1]kitu ambacho utakigundua baada ya tamko la rais kuwataka wasanii wazingatie maadili kwa uelewa mdogo tu rais aliiona video ya waka waka baada ya kusikia kafanya kazi na msanii mkubwa wa marekani
Kila shetani na mbuyu wake!Hahaaa
Ngosha lina wivu sana mpaka kwenye misambwanda ya watoto wa watu
Amuulize JK namna alivyokuwa anazivuta firsa
Mmh!Kila shetani na mbuyu wake!
Itakua aisee watu wanacheza na bikini kabisa aisee watoto wa Trump ni noma hawana mshipa wa aibukitu ambacho utakigundua baada ya tamko la rais kuwataka wasanii wazingatie maadili kwa uelewa mdogo tu rais aliiona video ya waka waka baada ya kusikia kafanya kazi na msanii mkubwa wa marekani