Magufuri atakuwa ameiona video ya waka waka

Mapensho star

JF-Expert Member
Joined
Jun 30, 2016
Posts
3,052
Reaction score
4,104
kitu ambacho utakigundua baada ya tamko la rais kuwataka wasanii wazingatie maadili kwa uelewa mdogo tu rais aliiona video ya waka waka baada ya kusikia kafanya kazi na msanii mkubwa wa marekani
 
Hahaaa
Ngosha lina wivu sana mpaka kwenye misambwanda ya watoto wa watu

Amuulize JK namna alivyokuwa anazivuta firsa
 
kitu ambacho utakigundua baada ya tamko la rais kuwataka wasanii wazingatie maadili kwa uelewa mdogo tu rais aliiona video ya waka waka baada ya kusikia kafanya kazi na msanii mkubwa wa marekani
[emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Alicho ongea JPM kina ukweli......

Mziki sahizi unateka sana jamii daah! Kuna video zingine kuangalia mbele ya watoto ni shida kwakweli
 
kitu ambacho utakigundua baada ya tamko la rais kuwataka wasanii wazingatie maadili kwa uelewa mdogo tu rais aliiona video ya waka waka baada ya kusikia kafanya kazi na msanii mkubwa wa marekani
Itakua aisee watu wanacheza na bikini kabisa aisee watoto wa Trump ni noma hawana mshipa wa aibu
 
Back
Top Bottom