Idugunde
JF-Expert Member
- May 21, 2020
- 7,748
- 10,288
Watu wengi wanajiuliza sana juu ya hili agizo kuwa Magwajima wasipktishwe kugombea ubunge na udiwani.
Swali la msingi , Magwajima wasipokuwepo CCM ndio itawafaa watanzania?
Magwajima ndio walipaswa kupitishwa ili kuisimamia na kuhoji masuala ya msingi kwa manufaa ya nchi yetu.
Chama kisichokubali kuhojiwa hakiwezi kufaa wananchi.
Usalama wa raia, kuhoji juu ya ubadhirifu wa mali ya umma na kuisimamia serikali bila Magwajima tunaenda kuwa na Bunge butu.