Hao hao CCM walisema wapinzani wamewachelewesha kuleta maendeleo.Watu wengi wanajiuliza sana juu ya hili agizo kuwa Magwajima wasipktishwe kugombea ubunge na udiwani.
Swali la msingi , Magwajima wasipokuwepo CCM ndio itawafaa watanzania?
Magwajima ndio walipaswa kupitishwa ili kuisimamia na kuhoji masuala ya msingi kwa manufaa ya nchi yetu.
Chama kisichokubali kuhojiwa hakiwezi kufaa wananchi.
Usalama wa raia, kuhoji juu ya ubadhirifu wa mali ya umma na kuisimamia serikali bila Magwajima tunaenda kuwa na Bunge butu.
Kosa la Gwajima ni kuhoji kukithiri kwa utekaji na mauaji ya wananchi.Swali la msingi , Magwajima wasipokuwepo CCM ndio itawafaa watanzania?
Chama ni cha kwao wenyewe na familia zao. Akiingia mwingine hapanaWatu wengi wanajiuliza sana juu ya hili agizo kuwa Magwajima wasipktishwe kugombea ubunge na udiwani.
Swali la msingi , Magwajima wasipokuwepo CCM ndio itawafaa watanzania?
Magwajima ndio walipaswa kupitishwa ili kuisimamia na kuhoji masuala ya msingi kwa manufaa ya nchi yetu.
Chama kisichokubali kuhojiwa hakiwezi kufaa wananchi.
Usalama wa raia, kuhoji juu ya ubadhirifu wa mali ya umma na kuisimamia serikali bila Magwajima tunaenda kuwa na Bunge butu.
Gwajima ameungana na vilio vya wananchi. Sijui kosa lake ni lipi hapo.Kosa la Gwajima ni kuhoji kukithiri kwa utekaji na mauaji ya wananchi. Kuondoa Magwajima maana yake wanataka kuendeleza hayo mambo bila bughudha wala kukosolewa