Magwanda ya jeshi yamponza Diamond, Sasa ni jela miaka 15

Magwanda ya jeshi yamponza Diamond, Sasa ni jela miaka 15

Shin Lim

JF-Expert Member
Joined
Mar 27, 2012
Posts
7,837
Reaction score
14,198
Yule msanii anayesemekana kuwa ni bilionea kuliko msanii mwingine yeyote Tanzania ambaye pia ameanza kujenga hekalu lake huku likiwa halijakamilika kwa mvua tatu sasa (miaka mitatu), ambaye pia amekuwa akiwafunika wasanii wote wa Tanzania kwa shoo kali na ghali, ambaye pia amekuwa akiombwa namba za simu pamoja na collabo na wasanii wa Marekani akiwemo Chriss Breezy mkali wa so cold na with you bila kusahau forever, lakini yeye huwakatalia kutoa namba na collabo kwa sababu ni mkali mno.

Msanii ambaye vilevile Mbeya nzima hakuna Hotel ya kulala yeye wakati huo huo amepanga magheto mawili yenye price ya thirty five thousands huko maeneo ya Sinza, sasa mashabiki kama si wa Keko, Ukonga au Segerea, nyimbo kama kamwambie, my number one na kitorondo hazitakuwa ngeni masikioni mwao kwa sababu burudani hiyo mujarabu watakuwa wakiipata face to face tena bure kabisa kutoka kwa Diamond kwa sababu sasa atakuwa akilala na kuamkia jela kwa kwa fifteen years period na hata uji wa mahindi wa kesho uliowekwa chumvi ataanza kuuupata huko na kama hili litafanyika, basi atatoka akiwa na umri wa January Makamba.


Hii imetokana na msanii huyo nguli kabisa kutinga gwanda za kijeda na kukatia miuno jukwaani wakati wa shoo fiesta mwishoni mwa wiki jana.

Pamoja na mbwembwe hizo, mashabiki walionekana kumzomea na kutaja jina la mfalme Kiba mzee wa cinderela macmuga na mwana.

Kwa mujibu wa magazeti, inasemekana jamaa zake wa karibu walimwambia kuhusu hizo gwanda lakini alitia ngumu.

Kwa undani wa habari hizi jisomee gazeti la leo la lete mambo na Visa.
 
Jaman Hili Ni Jukumu La Jeshi
Mbona Raia Tunalivalia Njuga?
 
nimecheka hadi basi
wamsamehe tu
roho ya ubinadamu inanijia
au wakampigishe push up pale kkoo
 
mwaka huu team ndomo mtapanic sana,
mwenzwenu anaenda kutumbuiza keko sasa.
Yani nimecheka sana!!ha ha,ila simwombei ndomo akae ndani,huku nje kutadorora sana,afu yeye ni Changamoto kwa Mfalme,so itakua sio poa
 
Yule msanii anayesemekana kuwa ni bilionea kuliko msanii mwingine yeyote Tanzania ambaye pia ameanza kujenga hekalu lake huku likiwa halijakamilika kwa mvua tatu sasa (miaka mitatu)
ambaye pia amekuwa akiwafunika wasanii wote wa tanzania kwa shoo kali na ghali, ambaye pia amekuwa akiombwa namba za simu pamoja na collabo na wasanii wa marekani akiwemo chriss breezy mkali wa so cold na with you bila kusahau forever, lakini yeye huwakatalia kutoa namba na collabo kwa sababu ni mkali mno.
Msanii ambaye vilevile Mbeya nzima hakuna Hotel ya kulala yeye wakati huo huo amepanga magheto mawili yenye price ya thirty five thousands huko maeneo ya Sinza, sasa mashabiki kama si wa keko, Ukonga au Segerea, nyimbo kama kamwambie, my number one na kitorondo hazitakuwa ngeni masikioni mwao kwa sababu burudani hiyo mujarabu watakuwa wakiipata face to face tena bure kabisa kutoka kwa Diamond kwa sababu sasa atakuwa akilala na kuamkia jela kwa kwa fifteen years period na hata uji wa mahindi wa kesho uliowekwa chumvi ataanza kuuupata huko na kama hili litafanyika, basi atatoka akiwa na umri wa january makamba.


Hii imetokana na msanii huyo nguli kabisa kutinga gwanda za kijeda na kukatia miuno jukwaani wakati wa shoo fiesta mwishoni mwa wiki jana.
Pamoja na mbwembwe hizo, mashabiki walionekana kumzomea na kutaja jina la mfalme Kiba mzee wa cinderela macmuga na mwana.

Kwa mujibu wa magazeti, inasemekana jamaa zake wa karibu walimwambia kuhusu hizo gwanda lakini alitia ngumu.
Kwa undani wa habari hizi jisomee gazeti la leo la lete mambo na Visa.

Nna mashaka wewe kama sio khadija kopa maana umekaa kimipasho na kinoko yaan, uandikaji wako tu umesadifu na tabia yako kama ni me wewe basi mkeo ana kazi khaa!
 
nimecheka hadi basi
wamsamehe tu
roho ya ubinadamu inanijia
au wakampigishe push up pale kkoo

Yani nimecheeka,kupenda misifa kunamponza!Ila simwombei mabaya apige tu push up,sidhani kama Mfalme mwenyewe anapendezwa na hili,jamani akiwa huko akitoka atasema mfalme kabebwa,bora abaki nje wapige kazi tuburudike
 
Hii habari itakuwa imeandikwa na ally kiba.....
 
Wewe unaemwita mwana wa mwenzio ndomo labda uwe ------- nawe wakwako atakua mara mbili ya ule kama si wewe mwenyewe.
 
Huyu jamaa Kaigusa jamuhuri ya tz ktk yani mjeshi anakata mauno hii balaaaaaaaaa
 
Nna mashaka wewe kama sio khadija kopa maana umekaa kimipasho na kinoko yaan, uandikaji wako tu umesadifu na tabia yako kama ni me wewe basi mkeo ana kazi khaa!

Una lako jambo.
1. Kwani ni wongo kama ndoma hana mjengo mkubwa kabisa wenye swimming pool unaogoma kumalizika hadi leo?
2. Je ni uongo kuwa ma PRO wake akina hOD wamekuwa hawaji hapa na kusema ndomo ameombwa namba za simu na lundo la wasanii wa marekani kama akina chris lakini amekuwa akiwakatalia.
3. Je ni uongo kuwa PRO wake huwa hasemi kuwa bosi wake ndomo ndio msanii ghali afrika mashariki?
4. Je ni uongo kuwa mbeya nzima hakuna hoteli ya kulala msanii wenu kwa sababu ya hadhi yake?
5. Je si kweli kuwa domo alisema atamsaidia mfalme wa tanzania kimziki ali kiba eti akihitaji collabo lakini sisi tukamwonesha yeye ni nani na kiba ni nani katika tanzania hii tena mbele ya swahiba wake davido na TI!
 
Ha ha ha ha uzi umenichekesha sana wamsamehe tu bure kijana wa watu mana amekuwa na gundu tangia u Germany Uk na fiesta watampa pressure bora wamrushe kichura au wampigishe mbizi ili aendeleze gurudumu la mziki wakimfunga hatutaskia vitorondo tena
 
Back
Top Bottom