Diva Beyonce
JF-Expert Member
- Mar 6, 2014
- 12,913
- 11,271
ha ha ha naona gazeti jingine tena! Eti una shule,,my foot! Mwenye shule anakuwa kama wewe?
Umesema huna chuki nae ila ukweli mnasema,,,ss ndo uniambie ukweli gani dhidi yake?
Shule ninayo nzuri sana tu na sina mda wa ku argue na fool pole kwa kukimbia umande maneno yenu ya kujifariji huwa mnaonewa wivu na chuki ukweli utaujua tu one day its a matter of time