Magwanda ya jeshi yamponza Diamond, Sasa ni jela miaka 15

pamoja na kwamba nakupenda sana ila nashindwa kuongea lakini kuhusu swala la ndomo na mfalme Kiba mimi na wewe ni mbingu na ard...eh kuna boda boda inapiga mwana hapa, ngoja niserebuke kidogo.

One love Mkiu...................

Uko wapi hadi uanze kuserebuka nyimbo inayopigwa kwenye bodaboda
 
Last edited by a moderator:
Mahakama ya Jf imeamuru bila huruma miaka 15 jela na viboko 24,12 siku anaingia jela,12 siku anatoka akamuonyeshe Wema Sepetu.Cooooooouurtt....

Hahahaaaaaaa
 
Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania (JWTZ) leo limetoa onyo kali dhidi -ya wale wanaojichukulia -sheria -ya -kuvaa sare za jeshi hilo (gwanda) pasipo kuwa wanajeshi wa jeshi hilo.
Onyo hilo limetokana nabaadhi ya Wasanii wa muziki wa Bongo Fleva wakiongozwa na Diamond, Ney wa Mitego pamoja na msanii anayetokea Temeke maarufu kama Chege kuvaa sare hizo siku ya jumamosi katika tamasha la Fiesta -lililofanyika katika viwanja vya Leaders.
Kwa mujibu wa kurugenzi ya Habari na Uhusiano Makao makuu ya Jeshi hilo yaliyopo Upanga jijini Dares salaam imesema kuwa ni kosa kisheria kwa mtu au kikundi cha watu kuvaa sare za jeshi pasipo kuwa ni wanajeshi.
Kurugenzi hiyo ya imewakumbusha kuwa yeyote atakayeonekana amevaa au kumiliki sare hizo sheria- itachukua mkondo wake.
 
Huyu mwandishi ulivyokuwa unatype kidole kimoja kilikuwa juu nini?Sababu unajua kusuta aaaah.....:cool2::cool2::cool2:
 
One love Mkiu...................

Uko wapi hadi uanze kuserebuka nyimbo inayopigwa kwenye bodaboda

Nilikuwa DDC mlimani city muda ule mwana dsm inapigwa, sasa nipo maeneo ya Kimboka kuna huduma fulani nafatilia hapa nasikia huku ni bei rahisi na inapatikana kwa wingi.
 
Last edited by a moderator:
Nilikuwa DDC mlimani city muda ule mwana dsm inapigwa, sasa nipo maeneo ya Kimboka kuna huduma fulani nafatilia hapa nasikia huku ni bei rahisi na inapatikana kwa wingi.

hahahaaaaaaaaa huko Kimboka huduma bei rahisi ushindwe wewe........

mchana huu wafata huduma wenzio wanaendaga usiku ujue
 
Ingawa mi napenda wasanii wote lakini nimecheka sana mnavyomshupalia jamaa.
Utafikiri aliwagongea mademu zenu.

Humu watu wana Joto na hasira na maisha yao, mtu ana aamka saa 11 Alfajir anagombea daladala kurudi saa2 usiku na degree yake afu mshahara laki4 ataacha kumchukia mtu bila sababu kweli aliyeishia O level?
Hembu waulize sababu hasa wanayo mchukia huyo Diamond kama wanayo basi, sana sana watakuambia ana Show off? Ha ha ha ha Jealous bana!!
 
habari yenyewe ni kichekesho tosha kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Kweli jamaaa mwaka huu mmeamua kumwandama.
 
habari yenyewe ni kichekesho tosha kuanzia mwanzo hadi mwisho.
Kweli jamaaa mwaka huu mmeamua kumwandama.

Hahahaha yami nimecheka sana hii habari yani ni vichekesho vitupu na uchokozi!
 
Aisee umenivunja mbavu na hiyo picha ya dadamond anavyokata nyonga na gwanda za ujedani!
Mwaka huu wake, na bado..

Ha ha ha u uzi umenichekesha sana idea ya kuvaa magwada sijui aliitoa wapi ha ha uwiiiiii
 
Ha ha ha u uzi umenichekesha sana idea ya kuvaa magwada sijui aliitoa wapi ha ha uwiiiiii

Atakuwa alimdanganya wema manake kuna kipindi alimwambia asiwe anavaa chu.pi na yeye akawa anatembea ametanguliza nanii yake kama punda wa kenya, kuna kipindia akamwambia avae wigi la kike, na yeye kwa upimbi wake akavaa,
akamwambia asinunue chupi na badala yake anunuliwe na mama yake, na yeye akawa anaomba kununuliwa chupi na mama yake.
Kwenye ile shoo gani ile akamwambia avae sketi, na yeye akavaa kweli.
Kuna siku atamwambia binua nanii niingize kitu fulani kizito, atakaposhituka mzee ta.Le ameshamaliza yake nyuma.
 

Word! Umaskini mbaya sana.
 

mkuu nimetamani kujua mood yako ilikuwaje wakati unaandika hii comment....maana duh!!
 

Hahaaaa jamani leo mbona nafurahi hivi???hicho kitu kizito ni hatari...duh!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…