M-mbabe
JF-Expert Member
- Oct 29, 2009
- 13,203
- 23,027
Hadi saa 4.15 usiku wa leo tarehe 13 March 2018, wafuatao ndiyo members 5 bora wa humu JF kwa kigezo cha kuwa na posts nyingi.
Nichukue fursa hii kwa niaba yangu mimi binafsi kuwapongeza kwa kulipeperusha vyema jukwaa letu tukufu.
Hapa chini kuna mchanganuo uliolenga kupima tija (productivity) ya michango kutoka kwa magwiji wetu hawa 5.
((Tija ni uwiano kati ya IDADI ya posts zao vs LIKES walizopokea kutoka kwa wadau)).
Mwenye tarakimu iliyo chini ya 1.0 ndiye ambaye tija ya posts zake ni hafifu, pamoja na kuwa miongoni wa magwiji kwa wingi wa posts.
Numbisa = 4.3
Rutashubanyuma = 2.7
BAK = 1.3
mshana jr = 1.1
Nyani Ngabu = 0.4
Again....hongereni wakuu wangu.
PS:
Penye kuhitajika tija pafanyiwe kazi. Huu ushauri utamfaa zaidi ndugu yetu Nyani Ngabu ambaye ana posts nyingi lakini tija ni dhaifu sana!