hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 45,678
- 63,304
hahaaaa leo umetema shit !!!?Pambana na hali yako mkuu, kama huna cha maana ni bora ukae kimya
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahaaaa leo umetema shit !!!?Pambana na hali yako mkuu, kama huna cha maana ni bora ukae kimya
huwezi kumfundisha kitu amature then akakuelewaJifunze kuheshimu watu
HahahaPambana na hali yako mkuu, kama huna cha maana ni bora ukae kimya
Swali lako linaonyesha kuwa watu waliomo humu wengi wao bado kipato chao ni cha chini sana, bado wanahangaika na kupata mahitaji ya msingi kama chakula. Hivyo sifa kama hizi kwao sio motisha, wanataka pesa.Hua wanalipwaje?
Tatizo amuture anataka pambano na heavy weight boxerhuwezi kumfundisha kitu amature then akakuelewa
Hahah!! nikweli mkuuSwali lako linaonyesha kuwa watu waliomo humu wengi wao bado kipato chao ni cha chini sana, bado wanahangaika na kupata mahitaji ya msingi kama chakula. Hivyo sifa kama hizi kwao sio motisha, wanataka pesa.
bado sana chief.Mimi mkuu nina 1.2 je sistahili kuwepo kwenye list?
Haha nikajua ni ratio tu yoyote btn comments na likes, kwahiyo muda wa kujiunga unahusikabado sana chief.
una tuposti 123 tu. hao magwiji wana posti 65,000 kwenda juu.
kazana ipo siku utafika mkuu!
hahaaa umeona sasa ...lakini boxer anapaswa kumpuuzia tu ..maana akisema apambane nae atajitafutia kwenda jailTatizo amuture anataka pambano na heavy weight boxer
wewe hata mimi hujanifikia bado ..na ndio huwa sipndi kuanzisha ThdMimi mkuu nina 1.2 je sistahili kuwepo kwenye list?
Sema hapo Mshana anakuwaga na post za kitoto toto. not analytical for GT.... hao wengine respect for themHadi saa 4.15 usiku wa leo tarehe 13 March 2018, wafuatao ndiyo members 5 bora wa humu JF kwa kigezo cha kuwa na posts nyingi.
Nichukue fursa hii kwa niaba yangu mimi binafsi kuwapongeza kwa kulipeperusha vyema jukwaa letu tukufu.
Hapa chini kuna mchanganuo uliolenga kupima tija (productivity) ya michango kutoka kwa magwiji wetu hawa 5.
((Tija ni uwiano kati ya IDADI ya posts zao vs LIKES walizopokea kutoka kwa wadau)).
Mwenye tarakimu iliyo chini ya 1.0 ndiye ambaye tija ya posts zake ni hafifu, pamoja na kuwa miongoni wa magwiji kwa wingi wa posts.
Numbisa = 4.3
Rutashubanyuma = 2.7
BAK = 1.3
mshana jr = 1.1
Nyani Ngabu = 0.4
Again....hongereni wakuu wangu.
PS:
Penye kuhitajika tija pafanyiwe kazi. Huu ushauri utamfaa zaidi ndugu yetu Nyani Ngabu ambaye ana posts nyingi lakini tija ni dhaifu sana!
Komredi Nyani Ngabu angekuwa anacomment chochote ili apate LIKE kwenye ule uzi maalum wa kugongena LIKE nadhani angekuwa mbali sana...Hadi saa 4.15 usiku wa leo tarehe 13 March 2018, wafuatao ndiyo members 5 bora wa humu JF kwa kigezo cha kuwa na posts nyingi.