Magwiji 5 bora kwa posts nyingi humu JF - tija (productivity) ya posts zao imekaaje?

Mimi mkuu nina 1.2 je sistahili kuwepo kwenye list?
 
Hua wanalipwaje?
Swali lako linaonyesha kuwa watu waliomo humu wengi wao bado kipato chao ni cha chini sana, bado wanahangaika na kupata mahitaji ya msingi kama chakula. Hivyo sifa kama hizi kwao sio motisha, wanataka pesa.
 
Hahah!! nikweli mkuu
 
Mimi mkuu nina 1.2 je sistahili kuwepo kwenye list?
bado sana chief.

una tuposti 123 tu. hao magwiji wana posti 65,000 kwenda juu.

isitoshe, tija ya posti zako ni 0.81, ambayo ni tija dhaifu!

hata hivyo, kazana tu mkuu ipo siku utafika!
 
bado sana chief.

una tuposti 123 tu. hao magwiji wana posti 65,000 kwenda juu.

kazana ipo siku utafika mkuu!
Haha nikajua ni ratio tu yoyote btn comments na likes, kwahiyo muda wa kujiunga unahusika
 
Sema hapo Mshana anakuwaga na post za kitoto toto. not analytical for GT.... hao wengine respect for them
 
Komredi Nyani Ngabu angekuwa anacomment chochote ili apate LIKE kwenye ule uzi maalum wa kugongena LIKE nadhani angekuwa mbali sana...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…