Magwiji mmu na multi-id's

......hivi hawa ndo wale wanaosemekana kuruka na ungo usiku!!?:lol:
 
Naomba na mie ugwiji (hivi kuna faida gani za kuwa gwiji?)
Kigezo kimoja ni "kumiliki" jukwaa na kuwafukuza wageni. Ukiulizwa unadai sisi tunalipia na huyu halipii....yaaani kama vile kiroho kinauma.
Halaf matra nying wanafanya kila njia kuhakikisha mgeni anapata ban ili wabaki peke yao.
Ni watu ambao kama haupo kwenye "mtandao"
wao basi unakuwa kama adui kwao.

VIBAYA VYA WENZAO VIZURI VYAO.
 
kwa mara ya kwanz umeongea yeny akili! Hata mm hilo la upendelei nimeona kwa membaz wa zaman. Hata akikutukana kama vile hawajaona. Tukana ww huyo memba wa zaman uone utavoshambuliwa.
 
kwa mara ya kwanz umeongea yeny akili! Hata mm hilo la upendelei nimeona kwa membaz wa zaman. Hata akikutukana kama vile hawajaona. Tukana ww huyo memba wa zaman uone utavoshambuliwa.
Umeonaeeh
Tatizo lako na wewe uanpenda sana ku-react na kuwa so persimistic.
 
Nakukubali sana "Lizzy wangu". Nipo mbioni kuleta posa, hebu nipe taratibu zake zikoje.
By the way, id zako nyingine ni zipi?

Posa kuna mtu namsaidia kuchanga changa akifikisha kiasi alete nyumbani. . . labda nikuunganishie kwa desh desh?

Heheh. . . hiyo ni siri ya watu watatu.
 
Posa kuna mtu namsaidia kuchanga changa akifikisha kiasi alete nyumbani. . . labda nikuunganishie kwa desh desh?

Heheh. . . hiyo ni siri ya watu watatu.
nyekundu: NITAFURAHI SANA AISEE!:lol:
buruu: akina nani hao?
 
Hiyo ni hoja nayo eti!
Aisee!
 
Halafu, jinsi wanavyokuwa "wababe" humu, nilijua labda "magwiji" ni mijitu ya kutisha labda kama kina undertaker hivi....kumbe mmoja nimemuona kwenye ile picha ya British Council amevaa form six nyeupe yuko madawati ya mbele......dah!
 
Magwiji wanajuana kama waarabu wa pemba vilem. Mambo gwiji
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…