Magwiji mmu na multi-id's

Magwiji mmu na multi-id's

Halafu, jinsi wanavyokuwa "wababe" humu, nilijua labda "magwiji" ni mijitu ya kutisha labda kama kina undertaker hivi....kumbe mmoja nimemuona kwenye ile picha ya British Council amevaa form six nyeupe yuko madawati ya mbele......dah!



teh teh teh
 
Though hiyo 'magwiji' siinunui nadhani ni kweli wapo watu wana ID za kuandika thread za maana na za kupost vituko na pumba. . haswa kule chiti chati.

Sababu. . .labda ili
i) wasiwaangushe/wasiwashangaze/wasihukumiwe na wanaowafahamu.

ii) Wanakua na bifu na watu wengine ila hawathubutu kuwatukana kwa ID zao zinazojulikana kwahiyo wanajificha gizani ndio warushe makombora.

iii) Wanataka kuona wale wanaomkubali watamchukulia/wangemchukulia vipi kama angekua kama ambavyo ataAct/amua kufunguka na hiyo ID mpya.

Nimependa sana ufafanuzi wako.
Hebu tuambie mwenzetu, zakwako nyingine ni zipi maana umehitimisha vizuri sana kama "mnufaika" wa huo mkakati.
 
Back
Top Bottom