nyekundu: NITAFURAHI SANA AISEE!:lol:
buruu: akina nani hao?
Magwiji wanajuana kama waarabu wa pemba vilem. Mambo gwiji
Umeonaeeh
Tatizo lako na wewe uanpenda sana ku-react na kuwa so persimistic.
Ngoja nije hapo O-block chemical and processing, ndo utajua kama nimenyegeka.
Halafu, jinsi wanavyokuwa "wababe" humu, nilijua labda "magwiji" ni mijitu ya kutisha labda kama kina undertaker hivi....kumbe mmoja nimemuona kwenye ile picha ya British Council amevaa form six nyeupe yuko madawati ya mbele......dah!
Though hiyo 'magwiji' siinunui nadhani ni kweli wapo watu wana ID za kuandika thread za maana na za kupost vituko na pumba. . haswa kule chiti chati.
Sababu. . .labda ili
i) wasiwaangushe/wasiwashangaze/wasihukumiwe na wanaowafahamu.
ii) Wanakua na bifu na watu wengine ila hawathubutu kuwatukana kwa ID zao zinazojulikana kwahiyo wanajificha gizani ndio warushe makombora.
iii) Wanataka kuona wale wanaomkubali watamchukulia/wangemchukulia vipi kama angekua kama ambavyo ataAct/amua kufunguka na hiyo ID mpya.
ok, niunganishie basi kwa huyo nanihiiHiyo ni siri yangu na wao!!
tuendelee kusomana...something good is coming...tatizo na ww husomeki! Ila nimekupata sasa!
ok twende kazi...mm penda hii. Hata mm hivo hivo.
uko tayari kupokea majibu...maana kupima si tatizo..!tutajie wawili watatu basi
Aisee yaani umeitaja kama ilivyo..!?Chupi ya mgambo!!
Nyeupe nyeusi?Chupi ya mgambo!!
Aisee yaani umeitaja kama ilivyo..!?
Nyeupe nyeusi?
dah! huwa inatisha kuitaja kama ulivoitajaKwani vipi?
Umeanza hivo!Inafanana na wewe.
Gwiji wamemshika pa baya leo dah !Inafanana na wewe.
Acheni mara moja matumizi ya ma-id mengi. Kwa nini mnajificha gizani...!
dah! huwa inatisha kuitaja kama ulivoitaja